Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Kwa yeyote yule anayehitaji walimu wa kufundisha masomo ya ICT na kusimamia mifumo ya mawasiliano ktk shule yake au kutengeneza mifumo hiyo na ushauri juu ya kuwa na mifumo ya mawasiliano katika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
jamani kwa mtu yeyote ambayo computer yake ina tatizo na unahitaji kuirekebisha just call me kwenye 0752 389090 or 0717 069294 pia kama unahitaji vifaa mbalimbali vya laptops vinapatikana kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii kali mwaka huu hivi imagine mkurugenzi kweli anaamua kutangaza kwenye newspaper wale wote waliomba kazi ya Assistant Accountant waende kwenye written interview na for more information tembelea...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
The University of Edinburgh will offer three scholarships to students from Tanzania for postgraduate Master's study in any subject offered by the University for the 2012-2013 academic session...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
mamlaka ya majisafi na majitaka Dodoma wametangaza nafasi za kazi, kama msemo wa vodacom, kazi ni kwako www.duwasa.or.tz
0 Reactions
8 Replies
11K Views
It has come to my attention now days thereis new trend in recruitment procedure, especially in the public sector. For exampleyou may find an organization has advertised 1 position but yet they...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
ikiwa unahitaji mtu wa kukusaidia katika utendendaji katika biashara zako usijali kwani kuna kijana ambaye ni mzoefu yupo kukusaidia kwa muda mfupi sana kuanzia leo jumatano kijana huyo yupo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana jamii mi ni mjasiliamali pia nimeajiliwa kampuni moja ya ICT inayoitwa SCI iko pegiot house naomba kwa mtu yeyote kama atakua anahitaji sage Accounting package anicheki kwa namba hizi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau naomba mnipe ufafanuzi kuhusu taratibu za UDSM wanapotoa nafasi za kazi maana safari hii walitoa mwezi June alafu mpaka sasa wamepiga kimya. Kwa kweli siwaelewi taratibu zao naombeni msaada...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Resonate Consulting Group Limited (RCG) has organized a 3-day Intensive CISA Exam Boot Camp geared toward developing knowledge and practical skills to enable CISA candidates to pass CISA exam to...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nawashangaa waajiri wa Tanzania.Kimsingi hawana busara. Wanataka kuajiri watu wenye uzoefu bila kuwapa watu nafasi za kupata huo uzoefu.Tabu kubwa ni kua huu uchumi wa `kimachinga` unaendeshwa na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wenye taarifa wadau kama huku kuitwa kwa mafungu kumekamilika. Napenda kujua kwa walioomba nafasi college za education na government and leadreship kama wameitwa nao. nawasilisha
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu wanajamii, jana nimeona hawa watu wa tra wakisema katika moja wa vyombo vya habari hapa nchini, kuwa wanatarajia kuajili watu kwa ajili ya makusanyo ya kodi za ndani! Swali ni je!? Zile...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
jamani jf vp nafasi za Tanroads-kagera washaita watu?, kamatari naomba munijiuze. izi nafasi walitangaza oct,2011
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Bandugu wanaJF, kuna hizi nafasi za kazi zimetoka kwenye The Guardian Nov 4 za the so called Agribusiness, kwenye site ya Zoom zimeelezwa kwa kifupi kupita maelezo hakuna requirements wala...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana JF naomba kujua utofauti baina ya Partial transcript and Full Transcript nasema ivyo kwasababu kwenye vacancies nyingi wanazotangaza unakuta wanasema partial Transcript are not allowed only...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
naomba msaada kwa yoyote atakaye sikia nafasi hii basi tujulishane
1 Reactions
5 Replies
3K Views
wana jf natafuta kazi nina Diploma ya Nursing umri wangu 29 years cotact: yangu ni 0717 033 993 au 0767 033 993 .email mwandustephen@ymail.com
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Ndg zangu 2po 2nasubiri kuingia interview hapa ofisini kwao,msikate tamaa ambao hamjaitwa kwan wanaita kwa makundi,muda na cku tofauti.leo ni zamu ye2 2torial ass na cashier ambao wanamalizia kuitwa.
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Ndugu zangu wanajamvi, naombeni msaaada nipate kazi, nina bachelor degree ya mass communication. Check miout 0782517588.
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Back
Top Bottom