wale walio tuma maombi ya kazi Development support service Unit (DSSU) under undp. nafasi ya telephone operator mwezi wa saba, vipi wameshaitwa kwenye enterview.?
Dear coleagues
Please inform me, there is a friend of mine aliomba kazi hapo VETA na akiitwa kwenye enterview in October 2011, anahitaji kujua kama wameshaajiri hao watu au la.
references: Should be uploaded, if you do not have them available now, you should take the following action:
- as part of this application form you can request that the University to...
Ndugu Marafiki ni matumaini yangu ya kuwa tunaendelea vizuri na shughuli za kijamii pamoja na ugumu wa maisha ya kila siku.Leo hii napenda kuchangia juu ya maada ifuatayo''Ajira kwa Vijana'' hii...
Habari marafiki, Katika ulimwengu wa sasa kuna mabadiliko ya namna mbalimbali,kwa viumbe na mazingira yake.Mabadiliko haya hutokana na na tabia asilia na pia za mpito au sababishi au...
MEDICAL PRACTITIONERS POSITIONS at Aga Khan Health Services - Tanzania in Dar Es Salaam
Project Manager - Phase 2 Development at Aga Khan Health Services - Tanzania in Dar Es Salaam...
jamani naulizia vipi wale tuliofanya written interview UDOM wameshaita watu kwa ajili ya Oral..?? na T-Marc Tanzania nao vipi wadau..??? nipeni taarifa..sijielewi!
Nafasi nzuri za kazi
PROCUREMENT/SUPPLIES OFFICER II 4 POSTS at Bank of Tanzania in Mwanza
ELECTRICAL TECHNICIAN III I POST at Bank of Tanzania in Arusha
COMPUTER...
Health Attendants III (14 Posts) at Ocean Road Cancer Institute in Dar Es Salaam
Record Management Assistant III at Ocean Road Cancer Institute in Dar Es Salaam...
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 21 nimehitimu kidato cha 4 nina kipaji cha muziki ila sijapata mtu wa kuisaidia kuendeleza kipaji changu niko tayari kufanya kazi chini ya lebo ya mtu binafsi...
ndugu waheshimiwa deageo na SBL wameanza mchakato kutokana na nafasi walizotoa hivi karibuni. nimekuwa na mawasiliano nao tangu majuzi hivyo someni emails zenu.
asanteni na all the best watakaitwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.