Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Ndugu ingia hapa kwenye link jaza hii nafasi na zingine naweka chini yake kazi za UNICEF TANZANIA. http://legacy.intracen.org/appli1/jobman/viewpdf.aspx?vid=11118 UNICEF VACANCIES IN TANZANIA...
3 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari jaman ndugu wa Jf hapa kuna bussiness ya flat screen samsung inch 22 na 32,bei zake ni 350,000 na 650,000 consecutively.contact if uneed it 0787 027214
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nadhani tunakubalina na ukweli kwamba Wageni wanaokuja kufanya kazi nchinihasa kwenye makampuni na mashirika ya kigeni wanawazidi wazawa kwa kukubarikakatika utendaji kazi wao.Nimelifuatilia hili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani naomba mnisaidie maana kila nikiona namba mpya inaita kwenye cm yang u nadhani ndio wananiita U/bagamoyo maana napenda sana nikafanye kazi nao,bora nifahamu ili labda nizoee kam walishaita...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Can you achieve your career & life goals on your own? If not, We will empower you how to reach your way to success! 1ST-New Day Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau,kama kuna mtu anaejua askari wa uhamiaji wanalipwa kias gan kwa mwezi anijuze tafadhali.
0 Reactions
27 Replies
16K Views
Sijawahi ona hali kama ya leo hapa Diamond Jubilee kwa haraka harka nikihesabu watu waliokuja kwenye interview ukumbi mzima ulijaa na ukatapika labda wizara husika ingelikuwa inahudhuria interview...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
This message was forwarded to me via scikits-image@googlegroups.com, for those who like to cross boundaries, give it a try. Dear all, A 1-year Python (and ImageJ) developer position on...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Diploma ict
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wale wanaokidhi vigezo POWER SYSTEM MANAGER Qualification: Advanced Diploma in Electrical Engineering or equivalent Apply: Power Generation Services Ltd Box 11609, Dar es Salaam Details...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Video hizi ni za ukweli, hii ni new technology. Computer applications: 1.Introduction to computer,email,internet and ms office 2003 video. 2.Microsoft Word 2007 video 3.Microsoft Access 2007 video...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tafuta gazeti la Daily News la leo au fungua hapaNews | PSPF Best wishes waliochaguliwa kwa interview
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Wakuu. Nina BA Economics plus MBA Marketing. Sina experience yoyote zaidi ya field attachmden ya Project Planning. Yoyote mwenye fursa niko tayari. Mimi niko Dar. Naomba kuwasilisha
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Dear JF members and public as all,we are looking for Accounts Assistant.the candidate should be a form six holding Accounting Technician Certificate(ATEC) issued by NBAA.send only your CV to...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mlisema mtatoa majina ya walimu na vituo vyao vya kazi leo mbona hatuoni au hakuna ajila kwa walimu semeni ukweli tujue serikali yetu inababaisha
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Waungwana nimesikia BBC jamaa mmoja anahojiwa kanasema eti kama mwanaume ameangaika bila mafanikio na anataka kutafuta kipato basi kazi rahisi kabisa kufanywa kwa mwanaume ni uandishi wa habari je...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani kichwa habari hapo juu cha husika tupeane info jamani!
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nihabarisheni wana JF Cocacola walishaita watu kwenye interview?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari, Kwanza napenda kushukuru kwa JF kutupa fursa ya habari mbalimbali, mimi ni kijana wa kiume na dereva mzuri nina leseni class E. Naishi Dar es Salaam, wadau naomba mnisaidie natafuta kazi...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau pspf wametoa majina kwenye Gazeti la Uhuru la Leo(14/11/2011) ya watakaofanya interview ya pili.Kila la kheri kwa waliobahatika.
1 Reactions
5 Replies
7K Views
Back
Top Bottom