Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Ngudu zanguni tuliomba kazi TBL na NBC, sijasikia toka kwao au ndo wameshaita na nimetoswa?.Nijuze please. 
0 Reactions
2 Replies
1K Views
leo nikiwa natoka ndani ya majengo ya TIRDO nimesimama nje pale kusubiria magari jamaa kama watatu hivi na dada mmoja walikuwa wakiongea nanukuu maneno yao "watu wansumbuka san nafasi hizi za kazi...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Wapendwa yeyote aliye na news kuhusu interview tuliyofanya ya udom' asistant accountants' na pspf 'operation oficerz', kama walishaita tena au vp? Maana tunasubirii had bac jaman
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ngudu zanguni tuliomba kazi TBL na NBC July hivi, sijasikia toka kwao au ndo wameshaita na nimetoswa?.Nijuze please.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Group Record to Report Manager at East Africa Breweries Ltd in Nairobi Brand Manager at East Africa Breweries Ltd in Kampala AREA SALES MANAGER at East Africa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jamani niliomba nafasi ya kazi TRA mwezi wa sita, kuna mtu ana taarifa kama wameshait? Zilikuwa post za Analysts na Preventive Assistants
0 Reactions
10 Replies
2K Views
VACANCY ANNOUNCEMENT Applications are hereby invited from qualified and experienced Tanzanians for the following vacant posts Advertised by The African Association for Public Administration...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi ni kijana Mtanzania na ni memba wa JF kwa takriban miezi 18, kazi ya kuwa moderator nimetokea kuipenda sana. Yeyote mwenye kujua jinsi gani naweza apply au nitajuaje kama iko vacant anipe...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanajamii samahani,naombeni msaada kwa anayeweza nielekeza zilipo ofisi za alliance autos ltd.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Samahani wana JF naomba mnisaidie mshahara wa ngazi ya TGRS A ni kiasi gani maana napenda nifahamu kabla sijaingia mkataba na mwajiri.nisaidieni nipate maamuzi sahihi.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
The UCL School of Energy and Resources, Australia (SERAus) offers a variety of government and industry scholarships to attract highly motivated, talented students to apply to study in our...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta nafasi ya kazi ,nimemaliza form four 2011 . Nimsichana wa miaka 19 Matumaini yangu nitapata msaada toka kwenu.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani wadau,naomba kufahamishwa kama St john university dom walishaita waombaj kwenye interview...Ntashukuru kwa msaada!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nahitaji msichana wa kazi haraka. Kituo cha kazi ni Dar. Asiwe ana mtoto wala asiwe ameolewa (sina nia mbaya na hili, nina maana yangu). Atakayekuwa tayari naomba aniPM tuwasiliane zaidi.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimecheki detaails zake ila nilipofika hapa nikakwama. "Please note that you will not be able to access the online application form unless you have applied for admission to the University of...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani waJF naomba msaada wa majina ya applicants ktk posts za Assistant Accountant maana advert ya leo ktk mwananchi watu imewachanganya ukiingia kwenye www.nictanzania.com hakuna issue yoyote...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
jamani hali ya hewa si nzuri kwenye mashirika haya ya hifadhi ya jamii rushwa zinazotembezwa kwa ajiri ya ajira utashangaa mfano halisi ni nssf jamaa yangu mmoja kaniambia kama nina laki 8...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wanaJF? Narudi tena jamvini nikiwa ninahitaji msaada wa kibarua cho2te,najua humu ndani kuna wa2 tofauti tena ht kibarua cha kuuza duka mradi kipato as i am form six leaver. god blec u ol.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
dUH WANDUGU MBONA SIKU HIZI KAI NGUMU HIVI KULIKO HATA KUPATA DEGREE SASA SISI MA JOB SEEKERS TUTAFANYAJE. I AM A JOB SEEKER PLSE WENYE NETWORK ZENU HELP ME.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
JF naitaji kujuwa grage za mishara za serkali kuanzia chini adi juu, plz naomba anayejuwa anifamishe, And if possible attach the grade doc.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom