Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Wana JF. Tunahitaji mhasibu mwenye Diploma ya Accounts. Msichana/Mwanamke mwenye sifa atapewa upendeleo. Tuma CV yako kwa shimitz2010@gmail.com Director. SHIMI ENTERTAINMENT DSM
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Hiv jamani mnafahamu mazingira ya university of bagamoyo?maana tulienda udom tulishinda na njaa hasa wale tulioambiwa tusubirie mtihani wetu baada ya nusu saa ha2kupata hata maji kutusogeza maana...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wapendwa naomba kujuzwa na wale wenye ufaham juu ya ajira kwa waalimu wa STASHAHADA na wale wa ngazi ya CHETI kuwa ajira zao zinatoka lini? coz tumekaa sana mtaani kuanzia mwez MAY hadi leo hakuna...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba kuuliza wakuu humu jamvini kama kuna mtu yeyote mwenye information kuhusu temporary job iliyotolewa na NHIF maana naona kimya kimekuwa kingi,walishaita watu kwa ajili ya interview?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ninatafuta kazi,nimesomea hotel management,any job concern this proffesional please
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WANAJAMII LEO NILIONA VYEMA KUANGALIA HALI YA UCHUMI WA NCHI KWENYE WEBSITE YA BOT. NIMEKUTA HILI TANGAZO HAYA WAKUU JARIBUNI NAFASI HIZO EMPLOYMENT OPPORTUNITIES The Bank of Tanzania, an equal...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
nilimaliza advance diploma in accountancy mwaka 2008, ninao uzoefu wa miaka miwili kwa kazi za uhasibu, afisa mikopo na usimamizi wa miradi, natafta kazi dar es salaam, ninao uwezo wa kutumia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
haiiiiiiiiiiiiii wanaJF
0 Reactions
3 Replies
993 Views
Wanajamii forums naomba msaada mwenye taarifa ya nafasi za kazi kwenye mambo ya kilimo. Sifa ni diploma ya kilimo(diploma in general agriculture),
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi hawa UDOM,watasahisha hiyo mitihani au ndo kamali za kimitihani..... napatwa na wasiwasi sana kwa taarifa za ndani kabisa watu wameweka watu wao na mtihani ule ulikuwa ni kuwaleta watu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau nimepata tetesi kuwa jana watu walioomba Tutorial assistant posts wamepigiwa simu...so just to inform applicants wawe karibu na simu zao ,ama wajue imeshakula kwao....:(
0 Reactions
4 Replies
2K Views
V A C A N C I E S THE UNIVERSITY OF DODOMA (DEADLINE: 10th August, 2011) 1. POSITION: ACCOUNTANT (5 Positions) waliotuma Maombi ni ------------45 2 Assistant Accountant (8 Positions)...
1 Reactions
47 Replies
7K Views
Requirements: University Degree or equivalent in Materials Management or Business Administration from recognized institution Job Description: Liaise with user...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
habari zenu wadau.mimi ni ni muhitimu mpya kabisa nimemaliza pale CHUO KIKUU ARDHI (zamani uclas) degree ya kwanza ya sayansi katika usimamizi milki(Property and facilities management/estate...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Restless Development Tanzania (www.restlessdevelopment.org) is the leading youth-led development agency. We have been working in Tanzania since 1993 and have established an impressive track...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
WanaJF mie natafuta kazi nimesoma tourism management nina zaidi ya miaka miwili home naomba msaada ndugu zangu maisha ya huku mtaani yanachosha acheni kabisa.....wenu katika bwana
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Napenda kuwajuza wadau wote waliofanya interview mara 2 Mamlaka ya Taifa ya Vitambulisho (NIDA) MAJIBU YAMESHATOKA na waliofaulu wameshapigiwa simu jana na leo, so kama hujapigiwa simu consider...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Heshima kwenu wakuu wote wana JF, na pia poleni kwa majukumu ya kazi za kila siku. Mimi ni kijana wa 32 years Old, nimehangaika kupata kazi bila mafanikio. Tafadhali naomba mwongozo wenu coz...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
JOB DESCRIPTION Job Title: Manager (Policy and Budget Analyst) Reports to: Executive Secretary Supervises: Assistant Policy and Budget Analyst Job Location: Dar-es-Salaam Job...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamii, naomba kupata info kwa mwenye uelewa juu ya hili; nimesikia rumansi eti bandari kunanafasi ziko wazi isipokuwa vigogo wanasubili watoto na ndugu zao wamalize masomo ndio...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom