Natafuta kazi ya udereva nina lesen ya class c nimesoma katika chuo cha national institute of transport(NIT) and also i have secodary education certificate
Chanzo kikuu cha ukosefu wa ajira hapa nchini ni serikali yetu. Kwa mfano mimi mwaka jana nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni ya wachina, nilipofika pale nilishangaa sana kukuta mpishi ni mchina...
Mi naona tatizo ni ukosefu mkubwa wa ajira na uongozi mbovu wa chuo kuita watu wote tulioapplly.
Tufanye nini basi: kwa wale wenye nauli zao waende huko kwa tusionazo kukopa kwa ajiri hii...
The Architects & Quantity Surveyors Registration Board.
Date Listed: 14/10/2011
Area: Dar Es Salaam
Application Deadline: 02/11/2011
Qualifications
• Holder of a basic...
Hallo brothers & sisters how do you do?
Indeed I am so happy to be in this house, the home of great thinkers, your motivations,jokes etc. keeps my mind more competence in this world.
Frankly...
Nimepigiwa simu na watu wa recruitment service wapo mwenge karibu na sheli moja vipi.Eti wameniambia nipeleke cv zangu jumatatu.Najiuliza wameipata wapi namba yangu?wanataka kuniuliza nini?maana...
Haya ndio baadhi ya majina niliyoweza kuyapata wakuu, jaribu kucheki tu hii ni kwajili ya wanaotumia simu, kwa njyie ambao mpo kwenye net waweza yacheki kwa PDF kwenye thread inayosema Interview...
Wapendwa wa Jamii Forums, naomba mnifahamishe kama wale waliomba nafasi za kazi za kufundisha UDOM yaani kazi za TUTORIAL ASSISTANTS,
LECTURERS, ASSOCIATE PROFESSORS NA PROFESSORS, je...
Dear Friends,
There is a significant difference in wages for different category of workers.
Unskilled workers
Skilled workers
Semi Skilled workers.
My query is how these categories...
Wadau wa jf naomba sana siku zitakapotangazwa nafasi za kujiunga JWTZ atakayepata data anijuze. Mm niko vjjn sana hvyo siwezi pata magazeti, na access ya internet ni ya kuazima tena kwa shida sana.
Waana jf naomba ufafanuzi kwa wale wanaofahamu kuhusu hili suala la kuundwa kwa idara mpya ndani ya idara ya afya iliyokuwa chini ya DMOs.Nani anafahamu hiyo idara itaitwaje na itakuwa na vitengo...
Dear Friends,
There is significant variations of wages for different category of workers.
Unskilled workers
Skilled workers
Semi Skilled workers.
Mt query is how these categories are...
Wana jf naomba msaada wenu natafuta kazi hasa ya serikalini kwa nafasi ya community development officer.mwenye kujua zaidi au ana hints za kazi hiyo naomba anisaidie.Nitashukuru sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.