Why vijana wngi walio hitimu elmu ya juu kupa kwao kaz ina kua inshu embu waziri wa ajira litazame hili zen 2pelekee kwa ofis za TAMISEM mmja kwa mja ili na cc 2weze ajiliwa
wana JF kuna hizi ofisi mbili zinazohusika na utaftiaji wa kwa watu wasiokuwa na ajira lakini mpaka sasa zimeprove failure ila wanapokea mishahara minono, je kuna haja ya hizi ofisi kuwepo?
nimekaa nimefikiri ,nimegundua kua ccm madarakani hauwezi kutoka kwani nao wamegundua kuwa ni chama cha wanainchi kwa hiyo hawabweteki hata kidogo,nafurahi sn kuona ni wapembuzi wa mambo ,mfano...
Ninahitaji vijana wawili kwa ajiri ya kazi zifuatazo;
Kufanya usafiri katika eneo la kazi.
Kusimamia utoaji na uingizaji wa bidhaa katika ghara.
Kufunga mizigo ya wateja.
Kupanga bidhaa katika...
Beach House and Safaris adventure group are looking for the experienced game driver/guide.
Qualities
- should be fluent in English. Additional languages are added aadvantage
- Latest driving...
Beach House and adventure group are looking for the experienced game driver/guide.
Qualities
- should be fluent in English. Additional languages are added aadvantage
- Latest driving License...
Ni muda mrefu tangia hawa jamaa waanze kutanganza nafasi za ajira ufanye application online. but i wonder some times there is repetation on their advert they only changes the dates. pia hata...
Habari zenu ndg zangu wa JF, ndugu zangu natafuta kazi ya uhamiaji,elimu yangu ni ya form six. Tafadhali kama kuna mtu anaweza kunijuza au kunielekeza nianzie wapi.
Asanteni sana
MAINTENANCE PLANNER-LV
Barrick Africa is currently seeking to appoint Maintenance Planner.
Reports to: Workshop Foreman Light Vehicle.
KEY RESULT AREAS/ESSENTIAL FUNCTIONS...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.