Hi great thinkers, naombeni msaada jinsi nitakavyoweza kufika kwao makirikiri,
SABABU: mi ni mhitimu wa chuo kikuu nikiwa na degree ya sayansi ya wanyama (animal science and production), miaka...
wadau naomba msaada kwa anayejua taratibu za kujiunga na mafunzo ya uhamiaji, na ni muda gani wana recruit watu wa kujiunga na jeshi hilo la police kitengo cha uhamiaji. nashukuru
Habari zetu wana jf, ninaomba msaada kwa yoyote yule anayeweza kunisaidia nina rafiki yangu anatafuta kazi amemaliza Diploma ya Procurement and Logistics Management katika chuo cha Tanzania...
Jamani kuna kilio cha mawakala wa pembejeo za kilimo kanda ya kaskazini. Mawakala wametoa huduma kwa wakulima tangu mwezi wa 3
cha kushangaza mpaka leo wakulima wamevuna na kula ila mawakala...
Natafuta kazi Kama nilizozitaja hapo juu,ni mvulana mfupi kiasi umri miaka 21 elimu form 4,najua kuongea kingereza kwa ufasaha,muaminifu na mtiifu na nipo tayar kufanya kaz mahali popote.Kama...
Hi wadau,
Nina biashara yangu ya kuuza computer accessories mikoani (Out of DAR) na nahitaji serious and reliable distibutor/whoseller atakayeweza kuniuzia "mzigo" kwa bei nzuri ili na mimi...
Naomba mwenye gazeti la daily news la
jana tarehe 3/10/2011 Jmatatu anitumie contact
za tangazo la kazi liloandikwa Research assistant pamoja na necessary information kama qualification na...
Wakuu naombeni msaada wenu.Natafuta kazi ya Community Development Officer.Nina Certificate in Community Development,Diploma in Social Work and Social Administration na Degree ya Development...
Hello wanaJF, TBL Dar walitoa nafasi za kazi(Technical trainee) mwezi wa nane, je wameshafanya shortlisting na wameshaita watu kwenye interview?. wenye taarifa naombeni mnijuze pliz.
Habari wakuu,
mimi ni mhandisi wa umeme(electrical engineer) nimemajor kwenye power system engineering (switch gear and protection ,electrical machines ,power electronics ,power system analysis...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.