Wana JF.
Tunahitaji mhasibu mwenye Diploma ya Accounts. Msichana/Mwanamke mwenye sifa atapewa upendeleo.
Tuma CV yako kwa shimitz2010@gmail.com
Director.
SHIMI ENTERTAINMENT
DSM
Hiv jamani mnafahamu mazingira ya university of bagamoyo?maana tulienda udom tulishinda na njaa hasa wale tulioambiwa tusubirie mtihani wetu baada ya nusu saa ha2kupata hata maji kutusogeza maana...
Wapendwa naomba kujuzwa na wale wenye ufaham juu ya ajira kwa waalimu wa STASHAHADA na wale wa ngazi ya CHETI kuwa ajira zao zinatoka lini? coz tumekaa sana mtaani kuanzia mwez MAY hadi leo hakuna...
Naomba kuuliza wakuu humu jamvini kama kuna mtu yeyote mwenye information kuhusu temporary job iliyotolewa na NHIF maana naona kimya kimekuwa kingi,walishaita watu kwa ajili ya interview?
WANAJAMII LEO NILIONA VYEMA KUANGALIA HALI YA UCHUMI WA NCHI KWENYE WEBSITE YA BOT. NIMEKUTA HILI TANGAZO HAYA WAKUU JARIBUNI NAFASI HIZO
EMPLOYMENT OPPORTUNITIES
The Bank of Tanzania, an equal...
nilimaliza advance diploma in accountancy mwaka 2008, ninao uzoefu wa miaka miwili kwa kazi za uhasibu, afisa mikopo na usimamizi wa miradi, natafta kazi dar es salaam, ninao uwezo wa kutumia...
Hivi hawa UDOM,watasahisha hiyo mitihani au ndo kamali za kimitihani.....
napatwa na wasiwasi sana kwa taarifa za ndani kabisa watu wameweka watu wao na mtihani ule ulikuwa ni kuwaleta watu...
Wadau nimepata tetesi kuwa jana watu walioomba Tutorial assistant posts wamepigiwa simu...so just to inform applicants wawe karibu na simu zao ,ama wajue imeshakula kwao....:(
V A C A N C I E S THE UNIVERSITY OF DODOMA (DEADLINE: 10th August, 2011)
1. POSITION: ACCOUNTANT (5 Positions)
waliotuma Maombi ni ------------45
2 Assistant Accountant (8 Positions)...
Requirements:
University Degree or equivalent in Materials Management or Business Administration from recognized institution
Job Description:
Liaise with user...
habari zenu wadau.mimi ni ni muhitimu mpya kabisa nimemaliza pale CHUO KIKUU ARDHI (zamani uclas) degree ya kwanza ya sayansi katika usimamizi milki(Property and facilities management/estate...
Restless Development Tanzania (www.restlessdevelopment.org) is the leading youth-led development agency. We have been working in Tanzania since 1993 and have established an impressive track...
WanaJF mie natafuta kazi nimesoma tourism management nina zaidi ya miaka miwili home naomba msaada ndugu zangu maisha ya huku mtaani yanachosha acheni kabisa.....wenu katika bwana
Napenda kuwajuza wadau wote waliofanya interview mara 2 Mamlaka ya Taifa ya Vitambulisho (NIDA) MAJIBU YAMESHATOKA na waliofaulu wameshapigiwa simu jana na leo, so kama hujapigiwa simu consider...
Heshima kwenu wakuu wote wana JF, na pia poleni kwa majukumu ya kazi za kila siku.
Mimi ni kijana wa 32 years Old, nimehangaika kupata kazi bila mafanikio. Tafadhali naomba mwongozo wenu coz...
Habari zenu wana jamii,
naomba kupata info kwa mwenye uelewa juu ya hili; nimesikia rumansi eti bandari kunanafasi ziko wazi isipokuwa vigogo wanasubili watoto na ndugu zao wamalize masomo ndio...