Mimi nimesomea mambo ya secretary na nimeshafanya kaz katika taasisi ya fedha nikawa kama cashier kwa miaka 3 na miaka 2 nilikuwa secretar so naujuzi wa miaka 5 katika kazi, computer naijua vizuri...
Natafuta opportunities zilizoko mbeya, familia imehamia mbeya and im looking for available opportunities around. I can handle IT, training, marketing,project management, i have a lot of...
Habari wana JF?
Minimgeni ktk hili jukwaa naomba mnipoke kwa mikono miwili nami nijifunze na kuhabarika humu JF.
Hivi kuna tofauti gani kati ya haya maneno mawili "AJIRA(EMPLOYMENT)" na...
Mimi ni mkazi wa Dar es salaam ni mjasiriamali ambaye nimebobea katika fani ya welding,nawatangazia wote wanaohitaji grilles na mageti kwenye nyumba zao na mahofisini, contact zangu ni...
Nisiwapotezee mda. Nipo "juani" mda mrefu sasa. Nimesikia mwezi uliopita tar 18 gazeti la mwananchi kulikuwa na tangazo la kazi inayolingana na professional yangu na deadline ni ijumaa this week...
Wakuu heshima kwenu!. Mimi ni graduate na nimekuwa nikituma applications nyingi tu sehem tofauti tofauti kuomba kazi lakini sijawahi hata kuitwa tu kwenye interview,sasa najiuliza tatizo nini?,au...
Kiko Kigamboni Mwongozo kinaukubwa wa Heka 2.67 au Eka 6.60 au Mita za mraba 26700,kinafaa kwaa ajili ya kujenga Hotel kwa sababu kinaangalia bahari ya Hindi,Mwongozo ni wastani wa Kilometa 15...
Wana JF,
Nchi yetu imekumbwa na tatizo kubwa la kimfumo au ndio ile tunaosema Ombwe la Uongozi,Kuna Rundo la hawa wenzetu weupe waookuja kwa migongo ya uwekezaji na wakijiita maexpert lakin wengi...
Located at kIGAMBONI Mwongozo,Temeke Municipality,measuring 2.67Ha/6.60Acre/26700Sqm,it has a Title deed.
Mwongozo is 15Kms from Dar es salaam city centre,The plot is suitable for Hotel site...
Watanzania tunalalamika sana inapokuja kwenye swala la soko la ajira,
nashukuru jamvi hili limetoa kipaumbele kikubwa kabisa kwenye swala
la kupashana habari juu ya nafasi za kazi mbali mbali...
Siku chache zilizopita niliitwa mahali kwa ajili ya interview! Kiukweli, hii kwangu ilikuwa ni interview ya aina yake ambayo sikupata kuishuhudia tangu naanze mambo ya kusaka ajira! Pamoja na...
jamani yeyote mwenye info kuhusu nafasi za kazi aniambie.
hata kama ikiwa ni ya mchongo poa. as long as i will earn my salary.
BUT
IT should follow under my career. i have bachelor degree in...