hivi hii programme walotoa hawa SBL ya
GRADUATE PROGRAMME (PAN AFRICA EARLY CAREER PROGRAMME) una-apply vp? coz hawahitaji u2me CV na cover letter kwa email wala address msaada tafadhali.
Kazi mbili kwa akina dada natafuta;
1) mhudumu wa baa wa kike
2) mpishi wa kike
sifa
awe na umri usiozidi miaka 23
mchapa kaziajue kusoma na kuandika
- uzoefu sio muhimu.
- piga 0714148504
Habari za leo WanaJF.
Kumekuwa na ongezeko kubwa sana la watu kuulizia kama ofisi/kampuni/shirika fulani limeshaita watu kwenye usaili/interview au kazini kupitia JF,na majibu ambayo wamekuwa...
wadau naomba mwenye info za uhakika kuhusu pale SSRA maana nilituma maombi naona kimya sasa sielewi kama walishaita na je walishaita nafasi zote? mimi niliomba nafasi ya PR
Nimetumiwa katika barua pepe.. nnaimwaga kama ilivyo...!!
Tafadhali soma maelezo hapo chini na mawasiliano yote yapelekwe kwa contacts zilizoonyeshwa hapo.
---------- Forwarded message...
Wana JF hivi Sekretariat ya ajira walishaita interview,,kwa zile kazi walizotangaza july,Tanzania Parliamentary Comission ilihusika ndani hzo ajira,,na TRA vip wameshaita..maana kote sielewi whts...
Wana jf hv sekretarit ya ajira walishaita interview,walitangaza july na ndan yake Tanzania Parliamentary Commission ilikuwa moja wapo iliyotoa vacancy,,na tra je vp wameita?.nijulishen plz
Ni muda mrefu tangu tuanze kutoa lawama juu ya WAZEE ambao wamwshika madaraka kuwa hawatuwezeshi vijana hasa katika kutujenga ili tuweze kukubalika katika soko la ajira. Hivyo natoa rai kwa vijana...
Nataka kujiunga na Chadema ili kukipanua chama hiki.Nimeisoma katiba ya Chadema, CUF na NCCR, lakini nimeona Chadema ni bora zaidi.Nimejaribu kuwasiliana na watu kama Zitto Kabwe bila mafanikio...
Na Mwandishi Wetu, Iringa
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Diodorus Kamala, amewataka wasomi nchini kujiamini na kujiandaa kufanya kazi katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika...
http://tanzania-un.org/dynamicdata/data/docs/kazi%20foreign%20-%2014.2.08.pdf
Jamani huyu web master wahii webu mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa kalala usingizi au nikotokuwa makini...