Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

natafuta kazi ya ununuzi au storekeeper ngazi ya cheti.mi niko ZANZIBAR
0 Reactions
3 Replies
3K Views
KaziLink.: Financial Controller.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KaziLink.: Air Navigation Engineers (8 Posts).
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani mimi nilipeleka application siku tatu kabla ya deadline lakini application yangu ilikuwa ya 982 kwa post moja Kweli hapa kuna uwezekano hata jina langu kufikiwa? \vipi kuna mwenye...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
jamani mimi ni mwanafunzi,malengo yangu nije nisome shahada ya PUBLIC RELATION AND ADVERTISING bt sijajua exctly ukiachana na uhusiano je oppotunity gan nyengne unaweza ukafit.
0 Reactions
37 Replies
12K Views
jamani nisaidieni kupata kazi sociology degree holder specialize in Health and Population studies,nimeshafanya kazi za research na pia assistant in registrar's office and administration as well...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu leo nimesikia kwenye vyombo vya habari kuwa kuna nafasi za kazi Rwanda. Kama kuna mtu ana details za kina kuhusiana na nafasi hizo naomba atujuze please! Tanzania is boring dry pasture!
0 Reactions
12 Replies
4K Views
mimi ni mwalimu wa history na geography nimewahi kufundisha shule 2.nikaingia kampuni ya cm kwa miaka 2,sasa kampuni imeuzwa natafuta kazi yoyote.nina diploma ya elimu najua computer.uzoefu huduma...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
guys i hear serengeti wametangaza posts kwny dailynews ya jana..anybdy with info..plz go public on jf
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nina uwezo mkubwa na wa hali ya juu wa kufundisha b.maths kwa o.level. Natafuta kaz ya kufundisha popote. Nimeshafundisha kwa miaka 2 na kupata mafanikio makubwa hasa NECTA 2010. A= 1. B= 13, C=...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
KaziLink.: Marketing Officer.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wadau natafuta kazi za wildlife mwenye news yoyote naomba anifahamishe
0 Reactions
5 Replies
2K Views
KaziLink.: Flight Operations Inspectors (2 Posts).
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni mwalimu Daraja la 3A.Natafuta kazi kwa taaluma hiyo serikalini hata binafsi. Uzoefu wa kutosha {more than 5yrs} Kama sawa ni PM
0 Reactions
0 Replies
2K Views
ARUSHA TECHNICAL COLLEGE EMPLOYMENT OPPORTUNITIES Arusha Technical College (ATC) is an autonomous Institution established by the Government Notice No. 78 of 30th March 2007 that replaced the...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Tupo mtaa wa congo na somali kipande. Ndani ya duka la mchina.Qulity Alminium profile. Tunafanya. Office partition. Door fiting. Windo fiting. Na, Ainazote za Displaing,show case. Beizetu ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
We need some experienced HTML / CSS programmers. We have some projects and are looking for some good guys(freelancers) to work with, if you are interested about this please contact us through...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani nimesikia pspf wameshatoa majina ya watu wanaotakiwa kwenda kufanya interview kwa yeyote mwenye habari kamili atujuze wakuu nawasilisha
0 Reactions
13 Replies
3K Views
wana jf naomba kujuzwa kama open university waliishaita watu kwenye interview.pia mwenye dondoo kuhusu hizi nafasi tulizoziomba tupeane taarifa.kazi njema wakuu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu vp kushalipuka huko au bado, 2peane taarifa.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…