TANGAZO LA KAZI
Tunahitaji vijana wawili tu wenye sifa zifuatazo;
Awe muaminifu
Awe mchapa kazi
Awe na ujuzi wa fani ya usimamizi wa biashara au fani ya Uhasibu.
Tuwasiliane kwa njia zifuatazo...
Tunafanya,
office patition.
Windo fitting.
Doorfitting.
pamoja na displayshowcas za madukani na mahotelini, bei ni maelewano, SIM..0652394427.
kwakua wana jf,woteni kama ndugu basi...
natafuta kazi ya civil engineer part time in dar. nina uzoefu kwenye miradi ya maji, nyumba na barabara. tafadhali kama kuna mtu anajua kampuni inayotafuta engineer anijulishe
Wajameni,nilibahatka kufanya fild kwenye ofic moja ya tra huku mkoan,nimegundua mishahara ya hawa jamaa mbona ni ya kawaida sana kulinganisha na maendeleo walonayo..nin cha zaidi wanachokifanyaga...
wakuu hebu nisaidieni title ya hiyo temporary employee ya NHIF coz nmetafuta gazet la daily news la tar19 nmekosa....nsaidieni niaaply maana mtaa si mzuri hata kidogo....pliz pliz mwny msaaada
Natafuta kazi ya kufunisha somo la Hisabati (B. Maths). Nipo vzr na nimepata mafnikio makubwa ktk kufundisha kwangu miaka 2 ktk shule hii. Nahtaji kuwasaidia vijana wenzangu ktk somo hili...
Hivi kuna mtu ambaye ameshafanyiwa interview, ameshaitwa kuanza hii program. Kwangu mimi wiki mbili walizodai nisubiri zimeshakwisha, na kila ninayemuuliza{ninaowafahamu} wanadai hawajaitwa.
Natafuta mtu/watu wa kuingia nao ubia kwenye kamapuni yangu ya usafirishaji inaitwa Smart town trans. Is the big and win win business kwa maelezo/mawasiliano
0713-810857
Jamani mi siku hizi nashangaa sana, hivi kumbe kazi ni ishu kiasi hiki? Yaani hakuna uhusiano wa nafasi za kazi na watu wanaotakiwa kufanyiwa usaili. Mfano PSPF walitoa nafasi 8 za nafasi ya...
Plus finance company Limited deals with Business consultations including business consultancy itself, writing bankable business plan, writing various proposals (business and for non-profit...
Jamani kwa wale walioomba nafasi za Audit pale TPA,tafadhali futa katika list ya matumaini kwani tayari wameshaita na wamefanya interview alhamisi iliyopita,poleni kwa waliokosa na hongereni kwa...
msaada jamani kuna msicha ana umri wa miaka 25. elimu darasa la saba. anatafuta kazi za nyumbani (housegirl) . ila isiwe kazi ya kulala kwa mwajiri ni yakwenda asubuhi na kurudi jioni. kuanzia j3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.