Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Vp wana jf, udom washaita?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu, naomba mchango wenu. Hivi kwa mwajiri kuchelewesha mishahara ya wafanyakazi kwa zaidi ya siku 50 mpaka 90 akisema pesa ya kulipa mishahara haijapatikana (na ni kweli haipo,sababu kampuni...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
jamani naomba kama mnafahamu popote panapohusika na mambo ya uhifadhi wa mazingira mnisaidie nimetafuta lakini bado wapendwa it's almost a year now. najua environmental impact assessment, yn am...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Work from home on party time and be the boss of your self. All you need is a computer only. follow the link below to apply http://www.dataentryjobs.us/47052.html
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Leo tar 20 sept. 2011 zoom.com wamepost tangazo la "40 temporary employees" toka NHIF na wamesema source ni Daily News la tar 20. Cha ajabu nimenunua hilo gazeti na hilo tangazo halipo! Sitaki...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Syali Printers & Stationers. Marketing Assistant needed Immediately Experience He/she support to have at least 2 years experience in the field especially in printing field they will...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jf members nahitaji mchango wa mawazo yenu katika hili; nna rafiki yangu ambaye alimaliza elimu ya msingi muda mrefu na baada ya hapo akajikita katika kazi za gereji ni mda mrefu sasa na hata...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
hivi jamani wana jamii kuna anayejua details za kazi za wizara mana kuna tetesi huku mitaani kuwa mwaka huu watatoa ajira kwa wote wenye digrii waliomaliza vyuo vya kilimo kama wafanyavyo kwa wale...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hi wakubwa nimemaliza Comp Sc kamwaka jana badi nahaso kama vipi tusaidiane kwa hili
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hi, I am a graduate in Fisheries & aquatic Sciences seeking employment in research in natural resources management or teaching assistant in a college.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wewe ambaye unatafuta kazi kwa mudda mrefu sasa jibu lako limepatikana, vyeti unavyo na sifa zote unazo ila unaandamwa na roho ya kukataliwa. jibu lako ni yesu... NJOOO UFANYIWE MAOMBI NDUGU YANGU...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Tanzania imeongeza mikoa mipya minne kwenye orodha ya mikoa yake ambayo ni Simiyu,Geita,Katavi na Njombe.Kuongezwa kwa mikoa hii inamaana kuwa hapa pataitajika mkuu wa mkoaa ,gari yake ,walinzi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Majukumu ya program officer n nini in general?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Just follow the link below, all the best St.John's University of Tanzania
0 Reactions
0 Replies
1K Views
web designer napatikana kwa iontacts hizo hapo phone +255 756 417 990 mail: mwaisrael@gmail.com.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kuuliza kwa yeyote mwenye taarifa za mamlaka ya bandari TPA kuita/ kuteua majina ya walioomba nafasi za kazi zilizotangazwa mwezi wa 7/8
0 Reactions
8 Replies
6K Views
CV
Jamani nna swali dogo la ufahamu kwa manufaa ya wengi tunaotafuta ajira pindi zinapotoka,hivi uandishi wa CV unatakiwa uwe na vipengele gani vya msingi?maana naamini wengi tunaandika CV ila...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
POST AM LOOKING FOR: DATABASE ADMINISTRATOR Platforms: ORACLE/ SQL SERVER LEVEL: INTERMEDIATE Nina degree ya Computer Science na nina experience ya mwaka mmoja ktk hii fani. Pia ninauzoefu na...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Ndugu wana JF Neema ya Bwana iwe nanyi nyote! Ninaomba kupata taarifa ni kwa namna gani ninaweza kupata sehemu ya kujitolea ili niweze kuongeza uzoefu zaidi na kuimarisha CV yangu kwani ndio...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani great thinkers naomba kuuliza hivi upatikanaji wa kazi umoja wa mataifa umekaa je?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom