Ndugu zangu watafuta kazi kama mimi, leo nimekutana na nafasi za kazi kibao za VETA,
Fungua tovuti yao hapa chini
VETA -- Vocational Education and Training Authority --
Jamani watanzania wenzangu mlioko tanzania na mlioko nje yatanzania na wapenda wote nanitafarijika pale nitasikia mmoja wenu amepata kazi kupitia matangazo ya kazi za UN ninayo nyweka hapa katika...
Wakuu hapo chini bofya!!Niya WFP
http://i-recruitment.wfp.org/olcv/FileReqDesc?reqcode=11-0011841
KAZI NYINGINE HII HAPA YA WHO.
VACANCY NOTICE
THE OFFICE OF THE WHO REPRESENTATIVE IN...
Wakuu wana JF, heshima kwenu woteeee!
Naomba mwongozo wenu juu ya tatizo langu.
Mimi ni mfanyakazi serikalini (mwalimu wa shule ya msingi - TGTS E, cheo changu ni Afisa Elimu daraja la kwanza...
Wakuu wana Jf,
Naomba kufahamishwa kwa mtu mwenye taarifa zozote zile kuhusu hizi nafasi za kazi zilizotangazwa SAUT, kulikuwa na nafasi nyingi tu lakini sijawahi kuona au kusikia watu kuitwa...
INSTITUTIONAL ESTATE FOR SALE-KIMARA
INSTITUTIONAL ESTATE FOR SALE-KIMARA
ENEO LA KITAASISI LAUZWA -KIMARA
A plot -7822M2with title deed,situated at Kimara-Golan/Temboni Area, registered...
Nyumba inauzwa ipo temeke yombo,ina vyumba vitatu vya kulala ,siiting room,dinning choo cha ndani ,choo cha nje,fensi,sintank ya maji bomba la maji bei milioni 45 maelewano yapo,mawailiano...
mimi ni mwanafunzi wa 4m 4 kibaha sec.ninatarajia kuhitimu mwezi wa 10.pia ninatarajia kujiunga na technical college na sio A-level,hivyo kwenda tena kusoma ni mpaka mwezi wa 9 mwakani.tatizo ni...
Kila unaposoma post za watu kilio chetu kinafanana.......ajira.....ajira....ajira....
Lakini wana jf mi nadhani tumekuwa wabinafsi sana na hatutaki kushirikiana,ni ukweli kwamba hatuna mitaji...
Kwa Muhitimu wa degree ya Computer Science na Computer Engineering ,kwa serikalini mshahara wake ni kiasi gani au una range ipi!!I mean umeajiriwa kama Network Administrator,System Analyst au...
Natafuta tenda maofficeni, na hata kwa watubinafsi,
Taluma:-
ninafanya,
office patition.
door fiting.
Windofiting.
Na showcase desner.
Napatikana mtaa wa somali kipande na congo kwenye duka la...
Jamani Baada ya ajali ya Meli iliyoua ndugu zetu, jamaa zetu na marafiki zetu zanzibar nimekuwa nikifikiria sana kuhusu ajali, moja ya fikra zilizonijia ni kuhusu maisha ya watanzania kupotea ktk...
Natafuta tenda maofficeni, na hata kwa watubinafsi,
Taluma:-
ninafanya,
office patition.
door fiting.
Windofiting.
Na showcase desner.
Napatikana mtaa wa somali kipande na congo kwenye duka la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.