Wadau nimeona niwape habari kwa yeyote mwenye mpango wa kunua gari, nadhani ni gari nzuri na bei nzuri pia
Its for immediate sale
2000 Toyota Rav 4 J
Its a VVT- I engine, KM 1000330
Engine...
Habari za leo wana JF. Jamani jaribuni bahati zenu katika hii scholarship daedline 21/10/2011. Link ni hizi hapa
Sholarship details
2011-2012 Executive MBA Scholarships at Nottingham Business...
Je wewe ni Computer Programmer? Nafasi mbili za kazi hizi hapa.
Nitaandika kwa lugha ya nyumbani.
Kampuni ya E-Fulusi Africa (T) Ltd iliyopo Dar Es Salaam, imebobea katika nyanja za kutengeza...
wakuu mimi nilikua nauliza ivi mtu anayesomea degree ya insurance and risk management au mtu anayesomea procurement and logistic management ni yup anaeweza kupata ajira/kazi itakayo m-boost ili...
Ndugu zangu watanzania mlioko Tanzania na kwingineko nawaomba kazi hizi nikwa ajili yenu tumeni maombi msiogopetusiwaachie wanaigeria na watu wa west africa tu jiteteeni inashangaza ukienda nje...
Assistant lecturer in accountacy and finance - nafasi 3 (Bachelor in acc/fin >=3.5GPA + Master's in acc/fin >=4.0 GPA)
Principle human resource officer - nafasi 1 (>3 years experince a PHRO)...
Tarehe 22/08/2011 kwenye gazeti la Daily news Kuna nafas zimetangazwa SHIKITA. lakini cha ajabu ukienda kwenye website yao wanakwambia ulipe elfu 20.
Applicants are supposed to pay a non a...
wanajamii, naomba kuuliza wapi anaweza kupatikana msichana wa kazi za ndani (housegirl/housemaid). mfanyakazi aliyepo anakaribia kumaliza mkataba wake na ameamua kutoendelea na mkataba kwa sababu...
SECTION A
1.Is the African continent a continent or country?if it's continent,what is the name of this continent?(10 marks)
2.who is the president of Tanzania?a)kikwete (b)bush (c)i dont know...