UNAHITAJI KUJUA BEI ZA BIDHAA SHINYANGA?
UNAHITAJI TENDA SHINYANGA?
UNAHITAJI KUJUA BEI YA PAMBA,MIFUGO MSIMU HUU?
MATUKIO SHINYANGA?
USAFIRI?
DILI MPYA SHINYANGA?
VISIT. EVERTHING IN SHINYANGA
hi jf, jamani mm nina bachelor ya wanyama (livestock), je kuna m2 anaweza kunisaidia sehemu nitakayopata ajira iwe private organisation popote nndani na nje ya nchi
Ajira binafsi siku hizi zinamatatizo kweli, muda waprobation umekuwa mrefu mno hadi miezi nane, mkataba umestate baada ya probation utaongezwa mshahara ila ukidai vitisho na hadithi zisizokuwa na...
kuitwa kwenye usaili watu zaidi ya 5000 kwa post 100 je kuna uhalali hapo?au ni kutaka kuwasubua abiria ambao hata nauli ya kuhadhuria huo usaili wanakopa,Tume inatakiwa ifanye kazi kiumakini na...
Looking a job in the fields of Information Technology or Auditing. Please post links and companies looking for people to work in these fields in Tanzania.
Hamjambo wakuu!ni post yangu ya kwanza kabisa humu JF.naelekea mwaka wangu wa 3 wa shahada ya pROCUREMENT AND LOGISTICS MANAGEMENT.huenda nisimalize vema kwa kukosa ada.nahtaji kufanya part time...
Ndugu wana Jf mimi ni Mwalimu wa Geography na History kwa College, A-level na O'level. Naomba mnisaidie kupata kazi.
Nimendika maombi mashuleni mpaka basi, akuna chochote. I have a Bachellor of...
ni mtanzania ninayeishi hapa Dar es salaam, napenda kuchukua nafasi hii kuweza kutafuta kazi katika mashirika ya kijamii, asasi za kiraia na taasisi za kijamii ambazo hujihusisha na maendelea ya...
habari wa jf
naomba mnijuze zile nafasi nyingi sana zilitangazwa na utumishi mwezi wa kumi mwaka jana zimeishia wapi? mi niliomba nafasi ya mtendaji sasa naona kimyaaa kingi sana
Nilipata taarifa kwamba watu wanaoanza kazi Whitesands hotel kama trainees wanalipwa sh 8,000/= sikuamini, nikafunga safari hadi hotelini, baada ya UCHUNGUZI wangu wa kina ninathibitsha kwamba...
Tulifanya interview pale kigoma kwa post ya Administrative and Finance Assistant Officer,
lakin hadi leo "kimyaa",
aliye na habar nayo atujuze.
Nawasilisha
Nilikuwa nasikia tu kuhusu ajira za kujuana ktk sekta ya maliasili km TANAPA, NGORONGORO, WIZARANI nk, sasa naanza kuamini kwani tangu nimeanza kusoma wildlife mwaka wa kwanza mpaka sasa...
kiukweli maisha mtaani ni magumu sana tena hasa ukiwa huna kazi. msaada wenu tafadhari ni wa muhimu sana kwangu wana jf....natafuta kazi ya public relation...nina bachelor degree in mass...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.