Habari wanajamii! Naomba kwa anaefahamu range za Mishahara kwenye Nafasi ya Program Officer kwenye NGO inayoitwa Pathfinder International! Nimeitwa kwenye Interview wiki ijayo! Thanks very much...
Six Interview MistakesBy Michael Neece, Monster Contributing Writer
It's tough to avoid typical interview traps if you're unsure what they are. Here are six to watch out for.
1. Confusing an...
Senior Accountant (DSM)
Category:
Accountancy, Finance & Insurance
Location:
Dar es Salaam, Tanzania
Employment Type:
Full-Time
Summary:
People Power...
Natafuta kibarua,nimetembeza CV mpaka viatu vimeisha sole.nimesoma law UDSM,ni male,nina umri wa miaka 27.Naweza fanya kibarua chochote chenye mshahara wa angalau 400000 kwa mwezi.nisaidieni kwa...
Natafuta mtumishi wa kazi za ndani mwenye jinsi ya kike. sijawahi kuwa na mtumishi yeyeto wala sina uzoefu wa watu hao hivyo yeyote mwenye mawazo ya kumpata mtumishi mzuri please msaada.
nilikuwa kwenye usahili kwenye shirika moja hivi, nikaulizwa maswali haya "have you ever cheat any one? na have you steal anything in your life? nilishindwa nijibu nini kwani sikujua wanataka nini
Naomba msaada wa nafasi ya kazi kwenye shirika au taasisi yeyote ile,elimu yangu ni A-level(form six) pia nina experience sales representative na credit officer,e-mail yangu ni...
This job focuses on the creation of operating software, such and complex network software. Prospective software engineers earn an average of $85,000.00 per year.
APPLY NOW
Ndugu zangu, napenda kujua kama ni kweli NGOs zinazotoka bara la Ulaya kama Netherland, Uswiss,UK ni bora sana kwa kuwajali wafanyakazi wake kimaslahi kuliko NGos kutoka Marekani ambazo zingi ya...
Habari zenu wana JF! Kwa kifupi nimemaliza mwezi July pale UDSM. Nimesoma <Bachelor of Commerce in information & material management>. Yeyote mwenye taharifa/anayeza kunisaidia kupata hiyo sehemu...
HELLO J.F,
CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM), WAMETANGAZA NAFASI NYINGI SANA ZA KAZI KWA ADMINISTRATIVE STAFFS.
SOURCE NI GAZETI LA DAILY NEWS TAR. 27 JULY 2011.
DEADLINE NI TAR 10. AUGUST 2011...
Ndugu, natamani kufanya kazi katika mataifa ya Sudani na alfghanistani katika nyanja za Mazingira na Kilimo. Ningependa kujua kama kunamtua anafanya kazi huko au aliwahi kufanya kazi huko kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.