Mambo wana JF! Mim ni member mpya nimejiunga nanyi ili nipate mawazo na ushauri wenu. Katka pitapita yangu nimekutana na issue ambayo mpaka sasa siielewi vizuri. Nikahc pengne ndio wale matapeli...
Wakuu habari ya mihangaiko ya maisha. Sina uhakika kama hii taarifa imeshawekwa hapa kwenye forum. Kwa taarifa tu nikwamba UDOM wametangaza kazi za administrative. Tafadhali fuatilia hii kwenye...
desktop za dell brand new specs HDD ni 250GB Ram2Gb na processor speed ni 2.9Ghtz kwa Tsh 600,000 ni CPU na Monitor ya 15inch. kwa mahitaji piga no 0715 414162
NB:Kuna punguzo atayechukua kwanzia...
msaada wakuu- naombeni mnisaidie pa kulipata lile tangazo la nafasi za kazi TAWLA MANAKE WAMENISHORTLIST KESHO NI INTERVIEW NA TANGAZO LA LILE KAZI SINA..JUST 4 REVIEW...PLEASE!!!
Nimekutana na nafasi za kazi zinamtaka muombaji atume picha ndogo moja ya rangi (passport-size)
naomba kama kuna mwenye uelewa wa kazi za hizi picha anifahamishe-maana kama wao wanabase kwenye...
hi guys nina degree ya linguistics natafuta kazi hasa za zinaaoendana na writing skills kama vile editing,translation na proofreading wapi ntapata kazi hizi
wadau ambao tunatafuta kazi na kutegemea ajira na ambao hatuna uzoefu wa kazi i.e experience tushirikiane kuishinikiza serikali yetu ili ikomae na makampuni yote ili yatoe vipengele vya uzoefu...
kijana wa kitanzania aliye lelewa na mzazi "mvuja jasho" kwenye nyumba ya kupanga, leo hii anaambiwa aweke dhamana isiyo hamishika kama vile nyumba, kiwanja ili apate mkopo, wavaa suti wanamwambia...
watu wengine bwana wanatuma emails za taarifa za interview kwa waombaji wa ajira wakati sio wahusika wa AAR HEALTHY Services. Hii inakuaje? inamana applications za hapa online documents zinakuwa...
Wadau kuna yeyote anayejua kama kuna kilichoendelea katika ajira za nssf mara baada ya kufanya written interview pale ifm?mimi nilifanya katika i.t position
IT and computer software industry is currently experiencing a boom despite the economic meltdown the world over. Hence, the demand for well trained computer software professionals has also...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.