Ni sifa zipi zinahitajika ili mtu aweze kuajiliwa kama mtendaji wa kijiji au kata? Elimu yangu ni graduate wa UDOM mwaka huu nina provisional result tu lakin kwa tarifa nilizonazo transcript...
Ni matumaini yangu kuwa afya zenu ni nzuri na mungu anaendelea kuwabariki. Mimi ni nimemaliza shahada ya biashara na uongozi, (bachelor of buriness administration). Shida yangu ni kupata nafasi ya...
habari ndugu zangu,natumai kuwa mu wazima na Mungu anawasaidia.nina mdogo wangu anatafuta kazi yoyote ya kufanya kwani ametafuta mpaka amekata tamaa. Yeye amemaliza form four na kupata division 4...
Ndg M TZ,Kama mpaka leo hujapata kazi hizo hapo juu na hujui kwanini nenda Quality Plaza/Pugu Road njia ya kwenda uwanja wandege,
kuna supermarket /duka la UCHUMI-kutoka kenya.
Wanasema wamekuja...
Anatafutwa mtu anayefaa kuwa secretary/office administrator ,kwa uchache awe na sifa zifuatazo;
amemaliza Kidato cha sita, uzoefu si chini ya miaka miwili na awe amesomea kazi husika.
MWISHO...
Wana JF,
Kuna nafasi ya kazi (Land Registration Advisor) imetangazwa na Niras Finland na kituo cha kazi kitakuwa huko Zanzibar. Mwenye kujua anuani yao tafadhali naomba aweke humu ili niweze...
TANZANIA REVENUE AUTHORITY
EMPLOYMENT OPPORTUNITIES
POSITION: ASSISTANT TAX OFFICER
Purpose of the Job
To conduct desk/field audits and report to Tax Auditors.
To collect Government...
Wakuu nimepata admission kwa ajili ya PhD kwa chuo cha hapa ndani (Tanzania), sasa ngoma imebaki jinsi ya kupata scholarship. naomba mwenye information yeyote ya organisation inayotoa ufadhili kwa...
student who wants to earn to complete their education can go for the Parttime jobs in Delhi and balance their education and financial needs simultaneously. Lots of companies propose part time...
kuna mdau wetu wa jamii forum anatafuta kazi ana experience ya KUFANYA KAZI BENKI KWA MIAKA MITATU. KAMA KUNA MTU ANAWEZA KUTOWA MSAADA TUNAOMBA TUMSAIDIE.
Wakuu wana JF,
Kama mtakumbuka UDOM walitangaza nafasi za kazi za u-lecturer zaidi ya 100 mwishoni mwa mwezi may, 2011. Je kuna mtu yeyote ambaye aliomba hizo kazi na amepata feedback i.e kuitwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.