Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Mfumo wa elimu katika nchi yetu umekuwa ni changamoto kubwa sana. Namna unavyoendeshwa unakuwa ni tatizo kwa wanafunzi wengi kuweza kufikia malengo yao. Wanafunzi wengi wamejikuta wakisomea fani...
Suala la uchumi hususani ‘pesa’ imekuwa ni kitunguu ambacho kinatumika katika maisha ya kila mtu, kila siku. Usipoitumia ni lazima uiwaze kivyovyote vile. Je, ni nani awezaye kutatua changamoto za...
UTANGULIZI
Watu walio wengi kwa sababu moja au nyingine huwa hawawezi kutengeneza fursa za biashara kutokana na kuanza kwa biashara moja kupitia Mnyororo wa Thamani. Fuatilia Makala hii kwa...
UTANGULIZI
Sayansi Ni tawi la maarifa linalohusu nadharia, vipimo, uchunguzi wa hatua kwa hatua na uthibitishaji wa kuwepo au kutokuwepo kwa kitu au jambo katika hali halisi.
Tunaliona hili...
Mwalimu ni mwanajamii mwenye thamani kubwa sana katika ujenzi wowote wa jamii yenye mtazamo wa maendeleo endelevu. Kuna walimu rasmi yaaani walimu waliopitia katika mfumo maalumu wa mafunzo fulani...
Vipi nikikuambia kuwa leo hii inawezekana kutumia viumbe hai vidogo visivoonekana kwa macho kama Bakteria au Kuvu kutengeneza kinga ya mwili, dawa kwa ajili ya kutibu magonjwa yanayaothiri afya...
Kila nchi duniani hukusanya kodi kutoka kwa wananchi kwa ajili ya kuendesha serikali, na kodi ni chanzo kikuu cha mapato ya serikali.Lengo kuu la kodi ni kwaajili maendeleo ya nchi kwa maana...
Mitandao ya kijamii ni moja kati ya vitu vinavyoshika nafasi katika sehemu kubwa ya maisha yetu ambapo ina michango asi na chanya.Katika karne hii ya 21 tunaona ulimwengu umetekwa sana na...
Nisingeweza kufika hatua ya kuandika ndan ya jukwaa la jamii forums bila Mali ambazo zimepatikana msituni.
Mimi ni mwanafunzi mwenye elimu ya chuo kikuu, mafanikio yangu yametokana na bidii ya...
Kutokana na ukuaji wa shughuli za binadamu za uzalishaji kumekuwa na uharibifu mkubwa wa mazingira Hali inayopelekea kubadilika kwa tabia ya nchi. Aidha shughuli za kibinadamu Kama vile ukataji...
Bila shaka sote tumekuwa mashahidi wa udhihirisho wa ukweli kuwa‘’siku zote mwanadamu anapambana kupunguza maumivu na kuongeza furaha’’ hususani kwenye nyakati za leo za maendeleo ya sayansi na...
Ulinzi na usalama kwa watoto ni jambo ambalo jamii yetu ya sasa hailichukulii kwa uzito mkubwa licha ya kusikia katika vyombo vya habari, asasi za kutetea haki za watoto pamoja na kushuhudia...
Utangulizi
Kama vijana tunakabiliwa na kupambana na changamoto nyingi zikiwemo kukosa ajira na mitaji. Kulingana na utafiti wa REPOA 2021 inakadiriwa kuwa vijana 800000 hadi 1000000 huingia...
Suala la upimaji wa taaluma vyuo vikuu hasa vile vya serikali,limefikia hatua ambayo linahitaji
serikali kuingilia kati ili kuifanya elimu ya juu kuleta matunda tarajiwa kwa taifa. Niukwel...
Tatizo kubwa la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki(boda) katika jiji la Dar es Salaam
Andiko langu linahusu tatizo sugu la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki (boda) katika jiji la...
Sayansi na Teknolojia; vitu viwili vinavyoenda pamoja kama keki na aiskrimu au samaki na maji au, nipendavyo binafsi, dansi na muziki. Sayansi na teknolojia zimekuwa baraka kweli kweli katika...
MWANDISHI: INVYOLATA SHIRIMA(Neema)
Kulikuwa na kijiji kimoja kilichojulikana kama same.
Na ndani ya hicho kijiji kulikuwa na Mzee mmoja aliyejulikana kwa jina lake MzeeOtonglo.
Kabla Mzee huyu...
Lipo shinikizo la kijamii kwamba mwanadamu anayeweza kukubalika na kuaminika ni yule aliye na ‘akili timamu’. Kwasababu hiyo kila mmoja hupenda kujitazama kuwa yu timamu pengine dhidi ya, au...
Habari ndugu mwana Jamii Forum, haswa wa Jukwaa la ‘Stories of Change’ ni matumaini yangu u mzima wa afya, karibu katika chapisho hili. Andiko hili litajikita katika kuelezea jinsi gani matumizi...
Baada ya miaka kadhaa kupita akaandaa ubunifu wake unaoitwa, Ushahidi unaotokana na pesa zilizotolewa katika mashine za ATM.
Huu ni mfumo ambao ungewekwa katika mifumo ya ATM zote nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.