Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Elimu ni maarifa mtu anayo yapata kutoka kwa wazazi, walimu na jamii inayo mzunguka.Elimu huongeza maarifa na kuondoa ujinga. Sasa kuna Elimu bora na bora Elimu.
Watu wengi husema...
SULUHU MBADALA YA UKOSEFU WA AJIRA NCHINI TANZANIA
Maana ya ukosefu wa ajira.
Kwa maana ya kawaida na inayoeleweka na wengi. Ukosefu wa ajira humaanisha kitendo au hali ya mtu kukosa au kutokuwa...
WENU MTAMBO1272019
Maana ya simu janja.
Ni aina ya rununu ambayo inafanya mambo mengi kuliko simu nyingine ya kawaida,zinzfanya kazi kama tarakililishi,lakini hiki ni chombo kinachobebeka na...
Leo hii hapa nchini ukiuliza: kwenu mnatumia nishati gani katika kupika, Asilimia kubwa utajibiwa haraka: KUNI au MKAA. Kwanini wakati vipo vyanzo vingine? Je, wanatumia sana kuni na mkaa kwa...
Mazingira ya upataji elimu kwa Wanafunzi wa Kike shuleni yaboreshwe
Na wenu, Mtambo 1272019
Kwa miaka mingi, tumeshuhudia mtoto wa kike akiachwa nyuma katika suala la upataji wa elimu bora ...
Katika jamii na taifa lolote lile haipingiki kuwa elimu inasimama kama moyo au injili.Hili linajidhihirisha wazi kutokana na uwezo wa elimu kumtengeneza mtu kihaiba,kijamii,kihisia na...
(MKOMBOZI MFILISI) Taifa ili lipate maendeleo watu wake ni lazima wajishughulishe kwenye shughuli za uzalishaji mali ili kuweza kulipa kodi ambayo ndio nyenzo kuu kwa taifa kujipatia kipato ili...
Soma kwa utulivu mkubwa...
Baba alinisisitizia kuchukua likizo kazini nirudi nyumbani nikamuone. Na alitaka nikae huko mwezi mmoja. Nilikua na mambo mengi sana kazini na nikamwambia sitaweza...
Habarini ndugu zangu wanajamii forum leo kwa mara ya kwanza naandika katika "stories of change 2022" , kwasababu ni mshiriki mgeni na Sina uzoefu wowote Wa kuandika machapisho katika hili jukwaa...
Ipo haja ya kuirejeshea Tanganyika uhai wake
Na Tanganyika Leo.
Mara kadhaa nimekuwa nikijiuliza ni kwanini muungano wetu sio wa serikali moja yenye mamlaka kamili kama ilivyo kwa nchi na...
Naikumbuka bayana siku hiyo. Hususani ule mlio, mkubwa kuliko kumbukumbu yenyewe. Nilikua mdogo sana lakini nakumbuka dhahiri kila kitu. Ni moja kati yale matukio unayobeba akilini mpaka kifo...
Mwanangu, tazama mzazi wako nimeshakuwa mzee, umri umenitupa mkono. Meno yangu yote yamebongonyoka, siwezi hata kutafuna mnofu. Nguvu za mwili nazo zimeniisha, siwezi tena kusimama na kutembea...
Hakika lilikuwa taifa la kushangaza, ilikuwa ni nchi ya kuvutia macho na kupendea kwa kutazamwa kwa macho. Ilikuwa ni sehemu ambayo yeyote angependa kuitembelea, eneo lenye mapori ya kipekee...
Na mwandishi Fauster Fredricky, twende pamoja,
Dhana ya uwajibikaji ni dhana ya muhimu katika maisha ya maendeleo kwani ni moja kati ya mambo ya msingi katika kuleta maendeleo, dhana hii hufanya...
Maandiko na filosofia mbalimbali kutoka kwa wasomi na wanazuoni mbali mbali ni chachu kubwa ya elimu juu ya Utawala bora. Wasomi na wanazuoni wengi wameweza kuongelea na kutoa maana halisi ya...
Tanzania ni moja Kati ya nchi nyingi duniani ambazo zimekubwa na tatizo la ukosefu wa ajira, Hali ambayo imepelekea matatizo ya kiuchumi na kijamii. Ukosefu wa ajira rasmi hupelekea makundi ya...
1.0 UTANGULIZI
Teknolojia ni suluhisho inayotokana na matumizi ya akili ya mwanadamu baada ya kufanya tafiti au hutokea kwa dharura. Teknolojia inalenga kurahisisha au kutatua changamoto fulani...
Adhabu ya kupelekwa Kigoma hii ndivyo ilivyotokea kwangu mwaka 2012, mimi na wenzangu tulikuwa tunafanya kazi kwenye NGOs moja hivi , na tukiwa kwenye project moja wapo Mkoani Singida ilitokea...
Nimekuwa nikijiuliza Kwa Muda mrefu sana kuhusu Hali ya shule zetu za msingi. Serikali yetu imefanya jitihada kubwa sana katika kuhakikisha takribani kila kijiji kinakuwa na shule ya msingi. Jambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.