Stories of Change 2022

Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya

JF Prefixes:

3 Votes
Ninachukua wasaa huu kuzungumza na nyinyi ndugu zangu kupitia andiko hili, suala la kupima uelewa wa mtu katika elimu isiwe kwa mitihani hasa kwa elimu ya msingi ambayo Watoto bado wanakuwa na...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Upvote 3
0 Votes
Maisha ya binadamu ni kama safari katika msitu mnene wenye miti mingi sana.Wapo wanaovuka salama hadi ukingoni mwa msitu, na hukutana na ziwa kubwa lenye kina kirefu ambalo hakuna ajuaye siri...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 0
0 Votes
Tanzania ni nchi moja yenye serikali mbili tofauti…!!!Serikali hizi hutofautiana kwa lugha,muongozo na hata wananchi wake ila cha ajabu wote ni Watanzania na Rais wao ni mmoja. Serikali A hutumia...
0 Reactions
0 Replies
388 Views
Upvote 0
2 Votes
Kilimo nchini Tanzania huleta tija kwa wanajamii waliopo pembezoni na wao wakifaidika. Kilimo ni moja ya shughuli za kila siku kwenye maisha ya binadamu na hutegemeana na maeneo husika Kikilimo...
0 Reactions
0 Replies
769 Views
Upvote 2
5 Votes
Upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo gani? Upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo ambalo linahusisha kukosa uwezo wa kusimamisha uume au kushindwa kudumisha uume ukiwa umesimama wakati wa kushiriki...
3 Reactions
4 Replies
4K Views
Upvote 5
7 Votes
Teknolojia inazidi kukimbia sana ,na hivyo maendeleo katika sayansi na teknolojia yanaweza kutumika zaidi katika kutatua changamoto zilizopo ndani ya jamii zetu za kitanzania ,mfano teknolojia ya...
2 Reactions
0 Replies
937 Views
Upvote 7
2 Votes
Uwepo wa magonjwa katika jamii zetu si jambo la kushangaza. Bali ni hatari sana kugundua baadhi ya magonjwa hayo yakiwa ni tishio zaidi katika miaka ya sasa kutopewa kipaumbele. Magonjwa ya akili...
1 Reactions
0 Replies
357 Views
Upvote 2
1 Vote
ELIMU YA JUU TANZANIA Elimu ni ujuzi, uelewa na maarifa kuhusu jambo au mambo Fulani. Elimu hupatikana sio tu kwa kufundisha bali hata kwa kujadiliana na kuuliza maswali. Elimu ni ufunguo wa...
1 Reactions
0 Replies
427 Views
Upvote 1
2 Votes
Faith Athanas Elimu inasababu ya kutoa ujinga na kuingiza uelewa na maarifa kwa binadamu. Lakini je elimu hiii je inatoa ujinga kama inavyotakiwa katika taifa letu? Binti huyu wa miaka 24...
1 Reactions
1 Replies
398 Views
Upvote 2
0 Votes
UTAWALA BORA Ni vizuri tukaanza kwa kuangazia maana ya utawala bora, japo sio kwa tafsiri rasmi. Utawala bora ni dhana inayohusisha ushirikishwaji wa wananchi katika maamuzi yanagusa maisha au...
0 Reactions
0 Replies
335 Views
Upvote 0
1 Vote
“Baba, usiniache, tafadhali!?” nilikumbuka maneno yangu siku ile baba alipofariki. Kifo chake kilikua cha kusikitisha, ngozi yake dhaifu ili babuka kwa joto, siku zile za jua kali. Sikua na jinsi...
1 Reactions
0 Replies
376 Views
Upvote 1
4 Votes
Kwanini wanaume? Ni kwa sababu wanaume ndiyo wanunuaji (Wateja) Kwa kawaida biashara ikikosa wateja muuzaji hubadili bidhaa au kuachana na biashara hiyo kabisa. Kwenye jamii wanaume ukiwakuta...
1 Reactions
3 Replies
725 Views
Upvote 4
0 Votes
Mchango wa Banda! Na BabaDesi Wazo nililipata wakati nikipopokea Kadi ya Saba kwa Mwezi huu ikinitaka kuchangia Sherehe za Harusi ya...
0 Reactions
0 Replies
406 Views
Upvote 0
0 Votes
11 Votes
Shikamoni wakubwa na wadogo zangu habarini za mda huu. Naomba niende kwenye mada tajwa hapo juu kuwa "kijana mwenzangu wa kitanzania usisubiri kutafutiwa maarifa zaidi bila mwenyewe kuweka bidii...
10 Reactions
23 Replies
995 Views
Upvote 11
1 Vote
Taarifa hizo ni kama ajali, mwendokasi wa chombo cha moto na kadhalika. Hii itasaidia sana watu katika kufuatilia usalama wao. Pia endapo programu hii itawezeshwa kwa gprs, zitawekwa sehemu muhimu...
1 Reactions
0 Replies
273 Views
Upvote 1
1 Vote
MFAWIDHI Ilikuwa Usiku wa saa nane wenye giza pasi na mwanga wa mwezi, mvua za upepo mkali zilifanikiwa kuvuja mpaka ndani. Hali iliyomuamsha binti mrembo mweusi macho yake meupe makubwa ya...
1 Reactions
1 Replies
324 Views
Upvote 1
3 Votes
Story hii inahusu changamoto ya elimu Tanzania(ubora na masomo ya ziada).Nimeambatanisha Nakala ya somo husika - MASOMO YA ZIADA NA UBORA WA ELIMU Katika maisha yangu ya elimu suala la masomo...
0 Reactions
0 Replies
908 Views
Upvote 3
2 Votes
Kama kuna biashara inayolipa sasa hivi ni biashara ya mpira wa miguu na vyote vinavyohusiana navyo,hapa nazungumzia biashara kama kuuza na kununua wachezaji,kuuza jezi na vifaa vya...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Upvote 2
24 Votes
Afya ni inajumuisha utimamu wa kiakili, kimwili na ustawi wa jamii, na ni nyenzo muhimu kuhakikisha uwepo wa nguvu kazi itakayosaidia katika maendeleo au mapinduzi ta kiuchumi. Nchini Tanzania...
4 Reactions
12 Replies
732 Views
Upvote 24
Back
Top Bottom