Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Elimu ni jumla ya mambo yote ya kuhusu ujuzi,stadi,maarifa na muelekeo katika jamii.katika nchi yetu ya Tanzania tunaona kuwa Mfumo wetu wa uendeshaji umekaa vibaya,kuna baadhi ya mambo mengi...
Taasisi ya Elimu nchini Tanzania kwa kushirikiana na Serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania inatakiwa ifanye maboresho hususani katika mitaala ya elimu, kuanzia ngazi za msingi mpaka ngazi za...
Ilikua mchana nikichochea jiko la kuni kwa ajili ya kuandaa chakula, mara simu yangu iliyokua pembezoni mwa figa ikatoa mlio wa ujumbe mfupi. Baada ya kuifungua naona ujumbe kuwa "hongera...
Mpaka sasa takwimu zinaonyesha ongezeko la vifo katika umri mdogo na milipuko ya magonjwa hatarishi vimeendelea kuongezeka kwa kasi kubwa sana kote duniani, ila changamoto kubwa zaidi zimekuwa...
Historia ya ulimwengu kuna nadharia za kiimani na za kisayansi ambazo zimetofautiana jinsi ya kuelezea kuumbwa kwa ulimwengu mzima na vilivyomo ndani ya ulimwengu huo.
Kwa mujibu wa sayansi...
Kwanza tukubaliane kwamba ili Tanzania isonge mbele na iweze kujitegemea inamuhitaji kila Mtanzania kuwajibika kwenye nafasi aliyopo huku serikali ikiwa ndio injini inayoaminika kusukuma sehemu...
MABADILIKO KATIKA SHULE ZA MSINGI ZA KATA KUTUMIA LUGHA YA KIINGEREZA Katika dunia ya sasa nchi nyingi watoto na vijana wanaenda shule kujifunza mambo mbalimbali watakayoyaitaji kwa maisha Yao ya...
Manabii wa uongo wamekuwepo ulimwenguni pote tangu kuumbwa kwa ulimwengu hadi leo, ni ukweli usiojificha kabisa kuwa kuna watu hawajui kuwa kuna nabii wa uongo bali waliopo ni manabii wa kweli...
Linda Sana hisia zako zisije kukupa au kukupatia madhara baadae kwenye Maisha yako, hata kama zitakuwa au kuonekana chanya kiasi gani kwa Wakati huo, usiwe mwepesi wa kuzionesha kwa Kila mtu na...
BIMA YA AFYA YA JAMII 🇹🇿
UTANGULIZI;
Salamu Watanzania wote.
Ni muhimu kwa nchi hasa zinazoendelea, kuwa na dira/sera ambayo ndio muongozo wa utoaji na usimamizi wa huduma na maendeleoya...
Hivi ushawahi kujiuliza miaka ya nyuma namaanisha karne kadhaa zilizopita, watu walikuwa wanafanyaje biashara
Je, walikuwa na mawazo makubwa ya biashara kama sisi? Walikuwa wanawekeza katika...
UTANGULIZI
Wamachinga tuna umuhimu sana katika kukuza pato la Taifa na takwimu zinaonesha kuwa sekta ya viwanda vidogo na biashara ndogo imetengeneza ajira, kukuza uchumi na kuondoa umasikini...
Palitokea mtu mmoja afahamikaye kwa jina la Marco Marcusio, kijana huyu mwenye asili ya kinyamwezi akiwa ni chotara wa kimakabila Babaye mnyamwezi mama yake mnyakyusa, kijana huyu...
Ndugu wasomaji, salaamu.
Elimu ni zana muhimu sana katika kupigana na adui ujinga. Elimu inatupatia maarifa ambayo hasa ndicho kila mtu hukitafuta.
Elimu inapatikana katika mifumo rasmi na ile...
Nawaza vidonge hamsini vitatosha? Ama nichukue kamba nijining’inize ama ninunue sumu ya panya na vidonge vya usingizi nipotelee usingizini? Nimechoshwa na msongo wa mawazo na moyo wangu...
Moja katika rasilimali ya Taifa ambayo ni muhimu sana kuifahamu ni vijana, hawa ndio nguvu kazi ya Taifa Kwa muda wa sasa na hata wa badae.
Lakini pia watoto ni nguvu kazi ya Taifa Kwa muda wa...
Mapenzi; unaposikia neno mapenzi moja kwa moja unapata tafsiri yake binafsi katika ufahamu wako. Wengi huelezea maana yake kutokana na mtazamo aliopo nao, mfano; matazamo wa kidini, kimazingira...
(Kwenye kila sababu elfu za kukata tamaa, ipo sababu moja ya kuendelea kupambana!)
Na; Mashaka Siwingwa
Katika maisha haya ya kila siku kuna mambo mengi ambayo tunakuwa tunapitia wakati...
ELIMU YA MTOTO WA KITANZANIA
Na Julius Peter
Ni asubuhi tulivu ikiwa ni saa 12:00 ya asubuhi hii, natoka kwenye makazi yangu na kuelekea barabara kuu ili kuweza kupata usafiri wa kuelekea katika...
Awali ya yote itakuwa mujarabu nikianza kuelezea kwa kifupi maana ya maneno uwajibikaji na utawala bora. Aidha maneno hayo ni kama chanda na pete. Ni kwa nadra sana unaweza kuyatenganisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.