Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
(Pichani ni mwana anga Wa NASA)
Utangulizi
maendeleo, ni hatua inayochukua nafasi kwenye kuboresha jambo na kuhakikisha jambo linakuja kufanikiwa kupiga hatua moja kwenda nyengine na kuleta...
Habari, ndugu jamaa na marafiki kwa jina naitwa Moris, nilizaliwa mkoa wa mara nilisoma na kumaliza masomo ya sekondari na kufaulu vizuri mkoani mara.
Baada ya kumaliza masomo ya sekondari nili...
Naitwa Network Engineer, mzaliwa wa Wilaya ya Iringa. Nilizaliwa mwezi Agosti mwaka 1989 mama yangu akiwa nyumbani kwa bibi kwakuwa walikuwa hawajaoana na baba. Malezi yangu na mama yangu yalikuwa...
Nakala yangu hii nitazungumzia AFYA katika IMANI POTOFU, Imani yangu kupitia Nakala hii itasaidia kuleta MABADILIKO KWENYE JAMII, Nitatumia Sayansi ya Uumbaji katika hili, lakini kabla ya kwenda...
Mfanya biashara ni mtu anaye fanya biashara kwa lengo la kupata faida kusudi kuu Ni kukuza kipato chake kwa Mahitaji yake
Wengi hunzisha biashara zenye ushinda katika maeneo ambayo watu...
Ni ukweli usiopingika kuwa hakuna kisichowezekana katika maisha kwani tuna mifano mingi ya watu waliozaliwa katika familia maskini ila wakawa kuja matajiri. Tambua kuwa umakini, uthubutu na...
Kilimo ni shughuli ya kibinadamu inayojumuisha uzalishaji wa mimea na ufugaji wa wanyama. Miongoni mwa mazao ya chakula yanayolimwa ni pamoja na mahindi, ndizi, maharage, mihogo, mtama, uwele...
Tangu enzi na enzi ulimwenguni kote inasemekana watoza kodi ni watu wa kujinufaisha binafsi, hutumia mbinu nyingi kuchota na kujinufaisha wao binafsi, na kwa kawaida hupata utajiri mkubwa kupitia...
Kumekuwepo na mitazamo tofauti tofauti juu ya bidhaa zinazoingizwa sokoni kwa matumizi. Asilimia kubwa ya walaji wa bidhaa wamekua na kauli za; "bidhaa hizi za XYZ ( anataja jina la nchi) siwezi...
Kwa jina naitwa Ramadhani Selemani Ramadhani ni kijana wa kitanzania nina umri wa miaka 28 kwa sasa leo ningependa nizungumzie mambo mbalimbali yanayo weza kufanyika ilimradi kuweza kufanikiwa...
1. UTANGULIZI
Viwanda ni moja kati ya shughuli ya kiuchumi ambayo muhimu katika ukuaji wa uchumi wa nchi kwa sababu viwanda husababisha kuongezeka kwa uzalishaji wa bidhaa na huduma zinazopatikana...
Nawasalimu wote kwa jina la taifa hili la thamani kwa kila mmoja wetu na mali yetu ambayo Mungu wetu alitubariki kuwa nayo, tunaamka kila asubuhi kulijenga hili taifa kwa nguvu zetu zote tukivuja...
Tozo ni msamiati ambao kwa lugha ya mtaani tunaweza kusema watanzania 'waliuchukulia poa' lakini ndani ya it is itmiezi 18 umejizolea umaarufu wenye kuibua hisia tofauti miongoni mwa Watanzania...
MIFUMO BORA YA ELIMU INAYOWEZA KUKABILIANA NA TATIZO LA AJIRA NCHINI
MWANDISHI: PASCAL MUNYWANYI (03/08/2022)
DIBAJI
Mifumo bora ya elimu inaweza kuwa chombo muhimu sana katika kumwendeleza...
UTANGULIZI
Ufinyu wa ajira kwa sasa nchini Tanzania imekua ni changamoto kubwa. Wahitimu wa vyuo vikuu na vya kati ni wengi na wamekua wakiongezeka kila uchao. Mahali walipo vijana kumi sasa hivi...
Bei za baadhi ya sigara nchini Tanzania kutokana na majibu ya wauzaji wa Sigara mnamo mwezi July 2021 wilayani Pangani Mkoani Tanga.
BAADHI YA SIGARA
BEI ZA SIGARA HIZO KWA SASA
BEI YA...
Mimi ni kijana wa Tanzania mwenye umri wa miaka 28. Nimeona leo nizungumzie masuala yanayousu taifa letu au nchi yetu ya Tanzania kwa utafiti wangu nilioufanya ndani ya miaka 6 kwenye mikoa ipatao...
Maendeleo ya kiteknolojia yametoa msaada mkubwa sana katika jamii ya sasa. Teknolojia haijarahisisha kazi tu bali imeboresha utunzaji wa takwimu na kuondoa mlolongo mrefu na wenye kuchosha katika...
Afya; Kulingana na Shirika la Afya Ulimwenguni, ni hali ya ustawi kamili wa kimwili, kiakili na kijamii na sio tu ukosefu wa magonjwa na udhaifu.
Kuna aina mbalimbali za afya kama vile afya ya...
Elimu ni jumla ya maarifa aliyonayo mtu yanayomuwezesha kutatua changamoto za maisha yake ya kila siku. Elimu si ile tu inayopatikana shuleni na vyuoni bali ni maarifa yote yapatikanayo katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.