Stories of Change 2022

Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya

JF Prefixes:

0 Votes
Wengi wetu sisi hatuna "makazi" ni homeles au watoto wetu au ndugu zetu wenye miaka 18+ na kuendelea. Ni jambo la kawaida kwa wakati fulani kukosa makazi sio kila mtu anabahati ya ndugu au...
0 Reactions
0 Replies
284 Views
Upvote 0
0 Votes
KILIMO KWA MAENDELEO YA JAMII Kilimo ni uzalishaji wa mazao kwenye mashamba, kilimo kinajumuisha mifumo ya uzalishaji mimea, ufugaji wa wanyama, ndege, nyuki, na uvuvi wa samaki. Kilimo ni uti...
0 Reactions
0 Replies
524 Views
Upvote 0
1 Vote
Kwenye jamii yetu vijana wengi wanapohitimu chuo kikuu, wanakuwa wanamawazo mengi sana kichwani kwao. Moja ya wazo ambalo wanalifikilia sana wanapomaliza ni "Ajira", hili jambo limewakosesha watu...
0 Reactions
0 Replies
490 Views
Upvote 1
8 Votes
Nimesoma shule ya sekondari kata katika kijiji kimoja huko mkoani Dodoma. Wakati huo, tulipokuwa tukijadili hatima zetu kimasomo na kimaisha kwa ujumla tulikuwa tukiwaweka kando wasichana kwa kuwa...
6 Reactions
6 Replies
937 Views
Upvote 8
1 Vote
Hodi! Hodi! Hodi! nilibisha mara tatu pasipo na jibu. Mlango ulikuwa wazi na kimya kilitawala nilijongea ndani taratibu nikijua huenda bado wamelala. Au wamehama? nilijiuliza kimoyomoyo...
0 Reactions
0 Replies
546 Views
Upvote 1
2 Votes
Na Amour A. Mawalanga Ilikua ni mwaka 2005 kwenye uchaguzi mkuu ndipo sera ya uanzishwaji wake ilipoanza chini ya mzee wa Msoga Rais wa awamu ya nne Jakaya M. Kikwete huku mtendaji wake mkuu wa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 2
0 Votes
Utangulizi Mkulima ni nani? Mkulima ni mtu yeyote anaye jihusisha na shunguli za kilimo. Aina za mkulima, mkulima mdogo, mkulima wa kati, mkulima mkubwa. Uelewa juu ya kilimo Wengi wetu hawajui...
0 Reactions
0 Replies
454 Views
Upvote 0
0 Votes
Kwa majina naitwwa Ramadhani Selemani Ramadhani ni kijana wa Kitanzania leo ningependa kuzungumzia sifa za mwanamke alio bora kwa mumewe. Wote tunafahamu kuwa duniani kila kiumbe hai mungu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 0
2 Votes
JE INAWEZEKANA KUAHURU KIUCHUMI Uchumi ni jumla ya shughuli zote za binadamu zinazolenga kutosheleza mahitaji yao. Huru wa Kiuchumi ni uwezo wakua huru katika shughuli za uzalishaji kwaajiri ya...
0 Reactions
0 Replies
586 Views
Upvote 2
12 Votes
Mimi Si duni si dhaifu ni mwingi wa suluhu jamii yangu niamini, Mwenyezi Mungu si dhalimu kukuweka karibu na mimi mwanadamu amini, Niwe kwako kwanza, wanyama nchini, ndege angani Kitambaacho juu...
0 Reactions
4 Replies
552 Views
Upvote 12
1 Vote
Utajiri, pesa, umaarufu, vyeo, mamlaka, afya, chakula, mavazi, kazi, nyumba, magari, simu ya kisasa, unaweza kutaja mafanikio yoyote ambayo umepata. Hakika orodha haijaisha. Sasa nikuulize, ni...
0 Reactions
1 Replies
572 Views
Upvote 1
0 Votes
Ni katika kijiji kidogo kilichopo kusini mwa nchi ya Tanzania ambapo shughuli za kilimo na ufugaji zikiwa ndizo shughuli mama zaidi katika eneo lile ambapo msingi mkuu wa shughuli hizo ukiwa ni...
0 Reactions
0 Replies
302 Views
Upvote 0
1 Vote
Na; Mashaka Siwingwa Hata siku moja isitokee mtu yeyote akuambie kwamba mafanikio katika maisha ni rahisi. Majaribio ya kutimiza ndoto za mtu ni vita kubwa sana. Ni vita ambayo kila mtu...
1 Reactions
0 Replies
835 Views
Upvote 1
3 Votes
UTANGULIZI Mfanyabiashara ni mtu anayeuza bidhaa au huduma katika soko fulani. Mfano soko la mifugo la Vingunguti. Lengo kuu huwa ni kuuza, na kuuza ni lazima apate wateja wanaohitaji bidhaa au...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Upvote 3
1 Vote
Kwanza nisema huwezi kuunganisha nguvu ya Tajiri na Mtu mnyonge maskini zikawa kitu kimoja, Simba yenyewe pamoja na kwamba Ina Mashabiki wengi na wanachama Bado inajiita Nguvu Moja!! (Hapa...
0 Reactions
0 Replies
322 Views
Upvote 1
0 Votes
Bado nipo nashangaa sayari hii, tena nashangaa kiasi kwamba moyo wangu unapata matu matu na hakuna mtu wa kunifariji katu. Nashangaa sayari hii ambayo mahusiano mengi yanakufa kwa kuwa, ndani...
0 Reactions
2 Replies
562 Views
Upvote 0
1 Vote
Kwanza, salaam kwako msomaji wa andiko hili, lakini pili sifa nyingi na utukufu kwake Allah mwenye enzi hakika ni kwa neema yake pekee mimi na wewe tu wazima wa afya njema. Kwa kuanza niseme...
1 Reactions
0 Replies
293 Views
Upvote 1
0 Votes
To know where we come from is not difficult thing or it is not imposible and we don't need to believe or having any theory. We dont need to be told where we come from only we need the way through...
0 Reactions
0 Replies
284 Views
Upvote 0
7 Votes
''Kilio cha figo kimekuwa ni cha kimya kimya kinachotoa madhara makubwa kadri mda na wakati unavyosonga,mataabiko na misukosuko ambayo figo inapitia,mtaani kwetu imezua gumzo na watu wameanza...
4 Reactions
2 Replies
1K Views
Upvote 7
1 Vote
UTANGULIZI HUDUMA YA AFYA YA AWALI; Ni mtazamo wa jamii nzima ambao unalenga katika kuhakikisha huduma za afya zilizo bora zinatolewa na kwa jamii nzima kwa usawa na kujali mahitaji ya wanajamii...
1 Reactions
0 Replies
661 Views
Upvote 1
Back
Top Bottom