Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Namshukuru Mungu kwa kuzaliwa Tanzania pia kwa kunipa nafasi ya leo kusema na Watanzania, viongozi wa Umma na Jamii kwa ujumla, Makala hii itahusisha mada kuu Tatu zenye Tija ya Elimu, mada zote...
Maendeleo ya mtu binafsi tu namaanisha hali ya kiuchumi ya watu Katika taifa, katika umiliki wa mali, elimu na siasa pia vitu hivi huchochea kwa kiasi kikubwa Maendeleo ya taifa kiujumla mtu mmoja...
ANDIKO LANGU KUHUSU ELIMU
Elimu ni tendo au uzoefu wenye athari ya kujenga akili, tabia ama uwezo wa kimaumbile wa mtu binafsi. Katika dhana ya kiufundi, elimu ni njia ambayo hutumiwa makusudi na...
salama!
Niende kwenye mada kwa kuanza na maswali ya utangulizi.
Ni kwa namna gani unavyoshuudia idadi ya watoto wa kike wakipewa mimba na kutelekezewa watoto na waume zao?
Ni kwa namna gani...
Makala yangu imejikita zaidi katika kuelezea makosa ambayo hufanywa na wafanyabiashara wengi na hata watu ambao huanza kupanga kufanya biashara. Makosa hayo hufanya watu kudidimia Baraka ya...
RAFIKI ANAYEWEZA KUWA ADUI WA ELIMU YA MTOTO WAKO
Utangulizi
Mada hii inaangazia teknolojia na matumizi ya vifaa vya kielekroniki vinavyoweza kutumiwa na wanafunzi ama kufundishiwa au...
TUWALINDE NA KUWATUNZA WATOTO WA KIUME
Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mungu kwa ukuu wake katika maisha yangu, lakini pia nimshukuru Mungu kwa kuumba jinsia mbili hapa duniani, yaan jinsia...
Inaweza kuonekana kuwa hakuna ubaya katika kula aina fulani ya vyakula. Lakini, kuna wakati, kutojali kunaweza kusababisha matatizo mengi ya kiafya.
Wakati mwingine kutojali kuhusu kuacha kuvila...
UTANGULIZI
PAMOJA na uwezo mkubwa alionao mwanadamu wa kutatua changamoto mbalimbali katika mazingira yanayomzunguka, Watanzania wameshindwa kutatua changamoto za msingi ambazo ndiyo msingi mkuu...
tunaendelea kutoka thread namba 2.
Pesa ni mfano mmojawapo mzuri wa nadhaharia inayoitwa “Tinkerbell effect”. Ambayo inajaribu kuelezea kwamba baadhi ya vitu vipo kwa sababu tu ya watu kuamini...
UTANGULIZI
Hali ya kuwa watu wa visingizio siyo ya kubeza. Ina athari na inarudisha maendeleo yetu nyuma. Visingizio hivi sio mtindo bora wa maisha. Ni mtindo wa kurudi nyuma.
Katika Sehemu hii...
Asubuhi moja ya Oktoba 2021, Kijana wa umri wa miaka 18 aitwaye Michael, mkazi wa Tabora, alikutwa chumbani kwake akiwa kajinyonga kwa kutumia shuka. Kwanini ajinyonge? Jibu lilikuwa pembeni ya...
UTANGULIZI
Watanzania tunasifika kwa upole na ukarimu. Hizi sifa na nyinginezo hazikuja bure. Waasisi wa Taifa hili walitumia mbinu nyingi kutujengea sifa hizi za kiungwana. Moja ya mbinu hizo ni...
Hujambo na karibu sana wewe shabiki bora wa sanaa ya tingatinga katika mwendelezo wa simulizi hii natumai uko vyema wa afya na kiroho[emoji6] na kama ndo una ungana nami kwa mara ya kwanza basi...
Takwimu za Benki ya Dunia za 2019 zimeonesha wakulima katika nchi za kusini mwa Jangwa la Sahara ni 53%. Ikimaanisha kuwa Zaidi ya nusu ya watu wan chi za kusini mwa jangwa la sahara hujihusisha...
Nawasalimu ndugu zangu popote pale mulipo🤝🏽. Nina matumaini ni wazima wa afya, na kwa wale waliopata mtihani wa maradhi basi tunawaombea siha njema kwa MwenyeziMungu (Mtukufu, Aliye juu, Aliye...
Unyanyasaji wa kijinsia ni dhana pana sana ambayo ina ainanyingi sana ambazo kwa namna moja au nyingine zina muathiri mwanaume au mvulana Pamoja na mwanamke au msichana katika jamii zetu na kuna...
Familia Bora hujenga Taifa bora
FAMILIA BORA, TAIFA BORA
Ningependa tuelimishane namna familia zinavyoweza kujenga taifa bora au kuaribu taifa. Kwanza kabisa ningependa kueleza maana ya familia...
Nimefumba macho. Si kwa sababu nipo usingizini na wala si kwa sababu ni usiku wa giza totoro. Bali ni kwa sababu ya hofu, hofu ya kuiona leo. Hii ni kwa sababu jana ilifanya macho yangu yajawe na...
Mpenzi msomaji wa makala hii, imekuwa ni kawaida sana katika sheria za kimila, pindi mume anapofariki mke au wake watakaobaki hai katika familia hiyo kutofaidika kwa chochote katika mali...