Stories of Change 2022

Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya

JF Prefixes:

13 Votes
Uvumbuzi wa teknolojia ya intaneti/mtandao ulianza mwaka 1966 na kupamba moto mwanzoni mwa mwaka 1999 hii ilibadilisha kabisa namna binadamu wanavyofanya shughuli zao na kufanya dunia kuwa kama...
5 Reactions
2 Replies
1K Views
Upvote 13
7 Votes
Kuna msemo mmoja wa kiswahili unaosema"MAJUTO NI MJUKUU"bila shaka wote tumeshawahi kuusikia. Majuto ni maumivu yanayozalishwa kwa kutotumia wakati na nafasi kwa usahihi na Mjukuu ni matokeo...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Upvote 7
5 Votes
UUGUZI KADA MUHIMU Uuguzi ni moja ya fani muhimu katika sekta ya afya. Ni kada inayohusiana na huduma kwa ukaribu Zaidi na mgonjwa. Lakini kuna changamoto nyingi na mabadiliko mengi tunayopaswa...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Upvote 5
0 Votes
Utawala Bora ni kipengele kipana kwa kiasi chake kwasababu ya kila mtu kuwa na mtazamo wake akiingia kwenye uongozi,nianze kwa kusema huwezi kuwa katika mfumo wa utawala Bora ukijiangalia wewe...
0 Reactions
0 Replies
278 Views
Upvote 0
0 Votes
Siasa ni maisha,siasa ni kazi siasa ni imani ya kiitikadi katika nafsi ya mtu.Ili uwe wanasiasa yakupasa uwe mtu mwenye ujasiri wa hali ya juu na mwenye kujiamini kwa kila jambo lakini kwa kufuata...
0 Reactions
0 Replies
234 Views
Upvote 0
1 Vote
Hakuna maisha kamili pasi na sheria za kuyaongoza, sheria za Mungu waamini tunamini kuwa zimekamilika lakini nijiulize mimi na wewe je sheria wanazoandaa wanaadamu zitakuwa na ukamilifu milelee...
1 Reactions
0 Replies
386 Views
Upvote 1
0 Votes
Kamari ni mchezo wa kubahatisha unaohusisha pesa au kitu kingine chenye thamani kama tuzo kwa mshindi. Tuzo hilo la kubahatisha ndio lengo kuu la mchezo. Sheria za nchi mbalimbali zinatofautiana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 0
1 Vote
MADHARA YATOKANAYO NA MATUMIZI HOLELA YA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME UTANGULIZI Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya sehemu za siri za mwanaume kuwa na uwezo mdogo au kutokuwa na uwezo...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 1
0 Votes
Utandawazi unaweza kufafanuliwa kuwa ni kuongezeka kwa uhusiano na kutegemeana kwa watu na nchi. Kwa ujumla hujumuisha vipengele viwili vinavyohusiana kufunguliwa kwa mipaka ya kimataifa na...
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Upvote 0
0 Votes
Utawala bora tunaweza kusema ni namna ambavyo waliopewa dhamana wanaendendesha taasisi na shughuli za umma katika kusimamia rasilimali za umma, haki za binadamu kwa kuzinagatia sheria ambazo kama...
0 Reactions
0 Replies
476 Views
Upvote 0
2 Votes
Miongoni mwa mada muhimu sana kwenye maisha ya mwanadamu ni Nishati ya kupikia. Historia inasomeka kuwa mwanadamu alianza kupata maendeleo makubwa (evulution) baada ya kujua namna ya kudhibiti...
1 Reactions
1 Replies
534 Views
Upvote 2
5 Votes
Utangulizi Habari za wakati huu mwana JF. Karibu kwenye makala haya ya kimtazamo yanayoangazia changamoto za mitaala ya shule pamoja na elimu kwa ujumla. Katika hali ya kawaida Msingi wa elimu...
4 Reactions
4 Replies
3K Views
Upvote 5
2 Votes
Mwandishi mmoja wa kitabu alimaarufu "Ngoswe penzi kitovu Cha uzembe" Muhusika mmoja alisema KUHESABIWA KUNAENDANA NA IMANI ZA KICHAWI!!!! KUHESABIWA (SENSA) Nchi ya Tanzania inategemea kufanya...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Upvote 2
2 Votes
SAHANI YAVUNJWA NA WAKUU Katika nchi yetu ya Jamuhuri ya Tanzania na ulimwengu kiujumla, swala la WANYONGE kutopata HAKI Yao limekua jambo la kawaida sana hususa ni kwa wale wasiokua na uwezo...
0 Reactions
2 Replies
286 Views
Upvote 2
2 Votes
Ngoja nikuambie kitu kitakachokushangaza,siku moja nikiwa ninarudi nyumbani jioni,baada ya kumaliza shughuli zangu za kujenga taifa, nilimuona mzee mmoja akiuza matikiti maji kandokando ya...
0 Reactions
0 Replies
501 Views
Upvote 2
1 Vote
Katika pitapita zangu na harakati za kutafuta maisha nilijikuta katika Kijiji cha Tupo nyuma, Mji wa Tumechoka, Nchi ya Ahadi nyingi yenye ziwa kubwa sana liitwalo 'Ziwa jeupe'. Ziwa hili ni...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 1
6 Votes
Wizi wa kimtandao umekuwa ni jambo la kawaida sana katika jamii yetu hii inatokana na ukuaji wa teknolojia na uelewa mdogo wa watu wengi katika mayumizi ya vifaa vya kidijitali vya mawasiliano...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Upvote 6
6 Votes
MAHUSIANO NA UCHUMI. Imekuwa ni kiitikio cha taifa katika ule wimbo wa ukosefu wa ajira; “Connection! Connection! Hatuna connection” hiyo ni sehemu katika kiitikio cha taifa kwa vijana wa leo...
4 Reactions
0 Replies
720 Views
Upvote 6
0 Votes
Kuna mambo fikirishi kidogo, kwamba Wakenya wanakuja Tanzania wananunua mazao, mathalani Mahindi, vitungu hata matunda yakiwemo Machungwa na Parachichi (Hass Ovacado), lakini kilio kikubwa na hata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 0
1 Vote
Ajira! Ajira! Ajira! Nimekuita mara tatu kwa maana umekuwa hafifu katika mboni za macho ya vijana wengi. Nikikumbuka wosia tofauti za babu na wazazi wangu, kichwa kinazidi kuchanganya zaidi huku...
1 Reactions
1 Replies
629 Views
Upvote 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…