Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Mtazamaji wa Uchaguzi ni Nani?
Katika chaguzi zote Duniani huwa kuna watu wanaitwa WATAZAMAJI(OBSERVERS) hawa wanaweza kuwa watu Binafsi kutoka ndani na nje ya Nchi.
MAJUKUMU
Jukumu kuu la...
Your guide to every major social media company's misinformation policies on vital topics from COVID-19 to voting
An outrageous conspiracy theory vilifying a political candidate. A meme...
Nini maana ya Uraia wa Kidigitali?
Uraia wa Kidigitali unasisitiza matumizi bora ya teknolojia na kuhamasisha uwajibikaji kwa mtu yeyote anayetumia kompyuta, mtandao, na vifaa vya digitali...
Kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19 kuwa janga la kidunia na kupelekea taharuki, hii mada itajumuisha viunganishi 'LINKS' zenye mada muhimu mbalimbali kuhusu ugonjwa huo
TANZANIA
1 -...
Demokrasia dhidi ya uhuru wa kujieleza/vyombo vya Habari
Demokrasia sahihi hutegemea uhuru wa vyombo vya habari vinavyoweza kusimamia maslahi ya jamii. Kimsingi, haki zinazohusiana na uhuru wa...
Kifungu cha 9 cha Mkataba wa Afrika kinalinda haki ya uhuru wa kujieleza na kutoa maoni:
1. Kila mtu atakuwa na haki ya kupokea taarifa.
2. Kila mtu atakuwa na haki ya kujieleza na kusambaza...
1: Kifungu cha 31: Polisi au watekelezaji wa sheria wanaweza kutoa amri inayoruhusu kuingia, kupekua, au kutwaa vifaa na mifumo ya kompyuta, na kutwaa data au taarifa zilizohifadhiwa kwenye...
SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI, 2016
Sheria ya Huduma za Habari inasimamia weledi katika tasnia ya habari, na inaunda Bodi ya Ithibati ya Wanahabari, Baraza Huru la Habari, kushugulikia masuala ya...
Benki ya Dunia imejikita katika kuzisaidia nchi mbalimbali katika mapambano dhidi ya rushwa tangu mwaka 1996 baada ya aliyekuwa Rais wa taasisi hiyo, James Wolfensohn kutoa hotuba yake huku...
MKATABA WA HAKI ZA BINADAMU NA HAKI ZA WATU WA UMOJA WA AFRIKA (MKATABA WA AFRIKA)
Kifungu cha 9 cha Mkataba wa Afrika kinalinda haki ya uhuru wa kujieleza na kutoa maoni:
1. Kila mtu atakuwa na...
SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO,
Sheria ya makosa ya mtandao imetungwa 2015, Sheria hii inahusu makosa yanayohusiana na mifumo ya kompyuta na teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA); na...
Mamlaka mbalimbali zimepewa madaraka kubwa katika kudhibiti maudhui na shughuli za kila siku za vyombo vya habari. Nguvu hizo, hasa kwa vyombo binafsi vya habari, zinaingilia uhuru wao wa uhariri...
Dalili za ugonjwa wa COVID19 ni homa, kikohozi na mafua, kubanwa mbavu na kupumua kwa shida, kuumwa kichwa, vidonda kooni, koo kukauka, mwili kuchoka na kupoteza uwezo wa kuhisi ladha na harufu...
Afya ya akili huchangia moja kwa moja katika uwezo wa kuzalisha wa binadamu yeyote, ubora wa mahusiano na pia kiasi cha kufurahia maisha. Afya ya akili huchochewa na factors za kibaiolojia...
Anga la Tanzania likiwa limefunguliwa na kuruhusu wasafiri kutoka pande mbalimbali za dunia, inategemewa kuwa hivi karibuni nchi mbalimbali zitafungua mipaka na shughuli za utalii zitaanza...
NAMNA FAMILIA ZINAVYOWEZA KUISHI HUKU ZIKIENDELA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA CORONAVIRUS
Kila mwanafamilia ana jukumu la kujilinda na kuwalinda watu wote kutokana na maambukizi ya CoronaVirus...
Kiafya, haitakiwi kuvaa barakoa ‘mask’ wakati wa kufanya mazoezi kwa sababu zinapunguza uwezo wa kupumua vizuri. Katika kufanya mazoezi, katika hali ya kawaida huwa na ugumu wa kuhema hivyo kwa...
Muongozo huu wa Elimu kwa umma umeandikwa kufuatana na miongozo ya elimu ya afya ya Wizara ya afya Tanzania, Shirika la Afya Duniani –WHO. Muongozo huu una lengo la kuelimisha umma kwa kutoa...
Shirika la C-Sema kwa kushirikiana na Apps&Girls, Jamii Forums pamoja na Elimika Wikiendi, Children’s Dignity Forum, JengaHub, Msichana Initiative, Save the Children, Action Aid na Global...
Mtandao wa YouTube umejizolea umaarufu kwa kuwa kituo na jukwaa kuu la taarifa na burudani kwa njia ya picha mjongeo (Videos)
Aidha, kwa nyakati tofauti watumiaji wake wamekuwa wakikerwa na...