Habari ndugu zangu za weekend ,ningependa kujuzwa kuwa hizi tablet za vodacom zina utofauti gani kiutendaji ukilinganisha na Vodacom smartkicka? manake naona some spec kama zafanana
Wakuu nimekuwa nadowload windows mara kadhaa na kuzitumia zikiwa kama image tayari. Lakini hii imekuja CD. Sasa nahitaji kuifanya kuwa image ili iwe bootable. Je nitumie prog gani??
Habari Wadau,nimeona Nije Kwenye Jukwaa Hili Inaweza Kuwa Rahisi Kujibiwa Kulingana Na Nature Ya Wanaotembelea Sana Hapa.Mimi Naomba Kujua Malipo Ya Mafundi Wa Minara Na Wasaidizi Wao Ni Sh.Ngapi...
Tafafhalini simu yangu aina ya LG G 3 inazingua Niki connect Internet camera haifanyi kazi nimesha I factory restore inakua kawaida ila uki configure internet camera ina stack haionyeshi tatizo ni...
Simu yang ni 3g huwa natumia laini ya voda hizi za sasa na inasoma 3g. Lakini kuna laini ya mtu zile za zamani ina bando nimeiweka haisomi 3g . shda nn hapo ipo slow sana
Hello wana jamii forum
Natafuta mtu ambaye anaweza ku develop Software ( SOFTWARE ENGINEER)
Awe CREATIVE pia awe ameshawahi ku develop software awe na demo ya software aliyo develop. Check me 0717...
Taarifa njema kwa wale ambao wamekuwa wakihangaika kutafuta spea za battery zao za laptop zilizo kufa bila mafanikio.
Sasa battery yako iliyo kufa inaweza ikawa renewed kitaalamu,
Uboreshaji...
habarini wakuu! Naombeni kujuzwa nitapata wapi hii complete screen ya HTC ONE VX na kwa bei gani? Mwenye kujua plz anijulishe manake kariakoo nimezunguka bila mafanikio!
Wadau mambo vipi? Asanteni sana kwa kutujulisha mambo mengi hapa kuhusu technology issues. Nowdays soko la smartphone limejaa sana. Sasa naomba ushauri ni ipi Operating System nzuri kwa smartphone...
Jf natanguliza shukrani simu aina ya Tecno T605 inanisumbua sana ninapoweka line ya voda kama connection kwenye internet haisumbui kufungua facebook ila nikiweka airtel fb haifunguki kabisa...
Morning waungwana, Naombeni msaada wa mawasiliano kwa anayejua mtaalamu wa kuweka sound proof na mtaalam wa kuweka taa za night club. is urgent and serious.
Asanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.