The US government agency that collects personnel information for federal employees has said that a cybersecurity breach had compromised the data of up to four million people.
The Federal Bureau...
Hi, am a tenacious mechatronic expert , with a lot of experience in electronic design. i also have an aptitude
towards analog circuits, high power switching control, as well as in small signal...
Wadau habari
mwanzoni nilikuwa natumia OGWhatsapp ambayo iliniwezesha
kutumia namba mbili katika simu moja lakini imeshakwisha muda wake na
sijapata iliyo active.
Kama kuna mtu anayo link ya...
Wakuu natumain mko poa
Nilinunua moderm siku zilizopita kwenye maduka ya Tigo lakin nikawa nataka itumie lain zote kwa bahati mbaya wakati naflash ikagoma na kufa kabisa yani ikichomeka kwenye...
Kampuni ya Microsoft imeamua kusitisha matumizi ya jina la Nokia kwenye bidhaa zake. Kuanzia sasa simu kutoka microsoft zitakuwa zinaitwa Microsoft Lumia au Lumia tu badala ya kuanzia na jina la...
Wengi tunafahamu na kutumia UC Browser katika simu zetu.
Kwa sasa UC Browser inapatikana katika Windows Platform
Ili kudownload UC Browser for Windows copy hii link na paste katika browser yako...
Natumaini mu wazima humu jamvini na mnaendelea vizuri katika harakati za ujenzi wa taifa.
Moja kwa moja kwenye mada!
Natumia LG 2 Mini inayotumia kitkat OS na kwa kawaida ya hii OS huwez ku switch...
Ninaomba kufahamishwa Kwa mini unapoandika hasa kwenye hizi simu smartphone maandishi huwa yanajibadili mfano utakuta hapo juu nimeandika neno Kwa nini imekuja Kwa mini
Habari wanajamvi,
Nina simu yangu ya Huawei G510, inaniletea meseji inayosomeka hivi, "Unfortunately, Google play services has stopped."
Ni meseji inayokuja kila baada ya sekunde chache, mpaka...
Ninaomba msaada wa link inayoweza kunipeleka ku-download drivers zinazoweza kufanya kazi kwenye printer yoyote. Iwe ni ndogo tu (light weight). Nimepekua sana nimeshindwa kupata.Ninatumia windows...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.