Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wajameni nawezaje ku unlock modem za tigo na zantel? Coz nimejaribu na dc-unlock na software nyingne lakin wap! Wanasema zenyewe ni customized firmware. Msaada wanateknolojia!!!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
IDM inanisumbua kweli na hii kitu ‘IDM has been registered with the Fake serial number ’. yaani nilikukuruka mda sana lakini sijafanikiwa licha ya kumaliza site zote ila sitaweza kutumia...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Naomba kufahamu jinsi ya kurusha video kwenda youtube.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau naomba msaada kila nikitaka kufungua app kuna ujumbe unajitokeza (the page has become unresponsive, do you want to close it). Naomba kufahamu tatizo mpaka unakuja ujumbe huu.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
habari wadau wa tech, Nili install window 8.1 pro nika weka cracker fulani kwa muda mambo yaka fresh lakini sasa kila nikiconnect internet nadaiwa product mwenye nazo anisaidie manake nafikiria...
0 Reactions
2 Replies
655 Views
Habari zenu wakuu Nina tumia laptop aina ya accer na natumia windows 7 Tatizo ni kwamba hivi karibuni imeanza kuleta tatizo pale baada ya kuiwasha na kuingiza password INA display black screen...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi Naona windows 10 Upgrade iko available leo nimetumiwa Upgrade notice ila ni kama sielewi elewi vizuri nimefata hiyo Upgrade notice nimeambiwa natakiwa nifanye reservation. Kama unatumia...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habarini , wadau nina modem ya ndugu yangu ya zantel ya kitambo kaniachia ile ambayo haiingi line sasa nataka niitumie nashindwa kwasababu sina Namba yake ya simu , nilikua naomba msaada toka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hapo zamani, kidogo kabla ya ulimwengu wa "simu janja". Haujaja hapa bongo. Tulikuwa na simu zetu na tulizipenda sana. Mimi nilikuwa na simu mwishoni mwa miaka ya 2005. Nilianza kujua mini maana...
0 Reactions
65 Replies
12K Views
Naomba mwenye software ya TRADOS TRANSLATION anisaidie tafadhali. Natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
538 Views
Any ideas?? Note: it ain't my first time to root,,, I just tried everything!!
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Wadau, Nina computer tajwa hapo juu amabyo haijamaliza mwaka tangu ninunue lakini siku za karibuni imekuwa inagoma kusoma flash ninapoingiza na kuna wakati inabidi mpaka nitingishe kidogo. Je...
0 Reactions
2 Replies
824 Views
guys I get some problem on how to enable window 8 defender, nataka nitumie kama anti-virus, plz help me
0 Reactions
7 Replies
1K Views
guys napata shida kuactive my window defender to use as ant virus in my window 8, plz help me
0 Reactions
1 Replies
864 Views
Habari zenu wakuu..pc yangu ina tatzo la bluescreen code ni IRQL NOT LESS OR EQUAL, nhitaj msaada wa matengenezo ,,nmejaribu ku updates driver ila bado inazingua....
0 Reactions
0 Replies
711 Views
Ndg wanajf simu yng aina ya Tecno P5 ninapopiga simu, call haiend na ninapotuma sms pia haziend. Pia nisipogusa(touch) kioo kama nilikuwa naitumia inapoteza mwanga(inasleep) lkn inaendelea...
0 Reactions
1 Replies
655 Views
Wadau ninaomba kujua jinsi ya kuchukua videos kutoka simu TV na kuhifadhi kwenye gallery.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Ndg wanajf simu yng aina ya Tecno P5 ninapopiga simu, call haiend na ninapotuma sms pia haziend. Pia nisipogusa(touch) kioo kama nilikuwa naitumia inapoteza mwanga(inasleep) lkn inaendelea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
They changed world forever!!.........You only live once, but if you do it right, once is enough!
0 Reactions
0 Replies
420 Views
Habari!! Kwa wale wataalamu wa Installation, naomba kujua gharama ya Installaion ya Server inaweza fika shiling ngapi. Pamoja na configuration zake.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom