nashindwa kupata output katika hii kodi kila nikirun output inafail.
#include<iostream>
#include<vector>
#include<sstream>
#include<fstream>
using namespace std;
int main()
{
vector<vector...
nimeifanyia cm yangu ya Microsoft reset factory imefuta kila kitu adi majina nisaidie nitafanya vitu vyangu na majina yaweze kurudi.naomben msaada wenu wadau
[Odinga Raila pop up and Kibaki Tosha Tena Virus]
How to solve Odinga Raila.gif and Kibaki Tosha Tena Virus?
You can't access your system folders and any kinds of sites with words such...
Jana katika mkutano wakila mwaka na madeveloper uliopewa jina la I/O, kampuni ya Google ilitangaza toleo jipya la android lililopewa codename android m, ambayo inatarajiwa kuchukua nafasi ya...
Habarini wana jamvi,
Jana nilikuwa najaribu kuextend wireless network kama ifuatavyo:
Ni jengo la floor 3 so nimeweka utp cable kwa kila floor
Nimenunua tp-link w801 acess points 3 na...
Wakuu heshima kwenu
Nina rafiki yangu anaishi Njombe ameniomba nimtumie baadhi ya movies zilizomo kwenye computer yangu ili nae akaangalie. Tatizo ni kwa namna gani nitamtumia hizo movies kwa...
Habarini wakuu.....
Nina Pc angu ni DELL kuna siku umeme ulikatika na ulipo rudi PC ilikuwa kwenye charge! Sasa nahisi ilipiga shot maana nilipo washa ikawa haiwaki tena
So kutengeneza system...
Habari wanaJF
Nina Samsung ya kichina yenye Opera na Whatsapp. Nikifungua Opera yake nakuta maelezo tu na pia Whatsapp yake ukitumia baada ya muda Whatsapp inablock namba ya simu.
Naombeni...
Nimatumaini wadau wa uzi huu muwazima wa afya. Mimi natumia huawei y300, ambayo nilifanikiwa ku-root, matatizo yametokea baada ya kuroot kwani nimejikuta nimeomdoa app muhimu ambazo nizatoleo la...
Have u ever wodnered
Technical difference of a cellphone to regular landlinehone
What do terms like GSM CDMA TDMA mean
Wht techology and techniques makes cellphone mobile
To...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.