Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
wakuu msishituke kwa wito wangu,nimewaita mjee msafishe macho kwa kutazama na kuongea mawili matatu kuhusu hii project ndogo ya ku-design glass za kunywea maji/wine ambayo nimetoka kui-render hivi...
4 Reactions
25 Replies
4K Views
jamani naomba kuuliza merlin season six imetoka au bado?
0 Reactions
47 Replies
12K Views
Does Earth has its own sun, the inner core?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nitaweza vp kutuma msg/sms kwa watu zaid ya hamsin kwa mkupuo? Nisaidien kwa anaejua. Thanks.
0 Reactions
18 Replies
6K Views
wakuu Leo nimejionea maajabu kwenye smart yangu nimepakua movie ya 1.08GB kwa dakika kama 27 hivi kwa kutumia bittorent pro cracked apk ambayo niliipata ONHAX na cha ajabu ujumbe wa kumaliza kwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Google announced that it is working with iconic US jean maker, Levi Strauss, to make clothing from specially woven fabric with touch-screen control capabilities. Levi's said smart clothing could...
1 Reactions
2 Replies
863 Views
mwenye uelewa jamani maana haifanyi kazi yoyote na nimejaribu kuiflash lakini bado tu inakataa
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Awali ya yote naomba kuwasilisha ombi kwa moderator wa jamvi hili tuwekewe ki-sub forum kinachohusu masuala ya magari,pikipiki,meli,ndege,train na kadhalika.Natamani tuwe na forum hii ili tuweze...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
kampuni ya simu ya finland jolla wametangaza kuwa wanaanza kutengeneza ecosystem ya simu africa wakianzia na south africa. juhudi hizi wanashirikiana na co founder wa mtandao wa simu wa south...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
wakuu poleni na laz ila kijana wenu nimekwama nahitaj mwenye kode za moderm yangu huawei 1550 yenye imei 352965048727232 anisaidie nawaomba sana,usiku mwema
0 Reactions
1 Replies
831 Views
Habari za leo wanajamvi? Nikiwa miongoni mwa waTanzania wengi tunaotumia simu za low budget, kwa muda mrefu nilikuwa nimebanwa na Android OS za akina Huawei na Tecno. Ila baada ya muda nilivutiwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau wale wapenzi wa kutumia whatsapp mbili kwenye simu moja, OG whatsapp V2.12.67 imetoka, unaweza kuidownload kupitia link apo chini: OGWhatsApp - Sherlocked Android Store | Aptoide - Android...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Computer yangu inatumia kaspensky untivirus ambayo naona kama vile haifanyi vizuri. Nimebakiza siku kumi tu kufikia expire date. Naomba ushauri ni antivirus ipi nzuri ya kununua kwa sasa ambayo...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Nimekuwa mhanga wa OGwhatsapp tangu ile version ya mwanzo ilopo expire, niliendelea kuitumia huku nikirudisha tarehe nyuma baadaye nkafuta ile ni update cranked app kama io nimedownload fresh na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Modem huawei e1550 ndani ukifungua software yake inasoma vodacom lakini hapo haina laini, nje imechapwa logo ya zain ukiweka tigo inakataa sasa modem hii ni voda au zain imeunlockiwa au la?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau kuna rafiki yangu ana simu yake huawei y300 kila akidownload video akishamaliza na akijaribu kuifungua inagoma kuplay naombeni msaada ili niweze kumsaidia.
0 Reactions
4 Replies
674 Views
Habari zenu tech guruz, tupeane changamoto kuhusu hizi custom roms. Ni CR gan ipo stable na katika simu ipi sababu baadh ya sim mfano huawei y300 baadh ya custom rom znasababisha kuji restart kila...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
habari wakuu, ofisin kwangu kuna watu waliiba computer na kwenda kufuta kila kitu,sasa kuna baadhi ya watu wa IT wameweza kurudisha baadhi ya documents lkn kuna baadhi hazifunguki na hawajarudisha...
0 Reactions
2 Replies
859 Views
Wasalaam, Natafuta treka jipya. Je, niangalie vigezo gani kupata trekta linalofaa kwa kilimo kikubwa? Nimepitia Massey Fagarson na New Holland. Nataka kujua varieties na ubora ili niwe na wide...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu!! kabla sinaenda kwenye mada husika, ninatunguliza swali langu, nime-update operamini yangu ya zamani na sasa ninaitumia mpya. shida inakuja pale ambapo ninashindwa ku-save...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom