Nina smartphone aina ya Huawei Y530 inafanya kaz vizur lakini tatizo lake ni kwamba inani'allert kwamba storage space haitoshi ilhali kuna km 800mb free. Nikitaka kuupdate au kuinstall app mpya...
Habari za asubuhi wakuu?
Naombeni msaada wenu, nimeuziwa simu aina ya sony experia v3+, aliyeniuzia alikuja na vifaa vyake vyote kwa sababu niliiagiza tu. Sasa cha ajabu kila nikijaribu ku-install...
Ile offer ya airtel ya TELEZA imepelekea watu kuamka asubuhi na mapema hata kwa wale wanaochelewa makazini na uzuri leo walichelewa kukata na zikapita kama dk 40 za mda wa kawaida...
Nilinunua simu ya startime ya 129000 zile simu zina tatizo la kujitoa memory card ikiwa simu ipo on..uzuri wenyewe wanajua maana nilipoirejesha walijua tatizo na wakaomba niiache...tatizo langu...
Wadau za mda huu.Natumai muwazima.
Ndugu zangu naombeni mnisaidie jinsi ya kudownload video kutoka U tube kwan kuna video ya muhimu sana kwa shughuli zangu ila ndo ivo siwezi.Simu nliyonayo ni...
Habar zenu wakuu watu wengi huwa tunapenda kuchukulia kawaida tunapopata ujumbe wa ku updates software na kudhani hakuna umuhimu wowote si hivyo ku updates software kuna umuhimu mkubwa kwa kifaa...
Hello wana-jamvi, naombeni mawazo katika hili
Nilinunua kiwanja huko Pugu kinyamwezi, nikajenga kajumba kangu kwa kuunga unga, kwa sababu uwanja wenyewe ni mdogo, shimo la choo (septic tank)...
Wakuu tablet yangu nikiweka line internet inakuwa slow mno nashindwa hata kufungua page ya internet. Tatizo sio line sababu natumia vodacom na hapa nilipo vodacom ipo faster. Nimejaribu...
It is the first time hapa..in JF
Habarini wakuu
Kama uko interested kutumia 2 whatsapps with different numbers
At first ilikua easy sana...kuna developer aliimodfy official Whatsapp akaimod kama...
jamani hii kweli au promo zao tu
Dar-es-Salaam! Pata intaneti ya 4G LTE kwenye maeneo haya. Piga *149*00# kwa vifurushi bomba. SMART - let's surf! SMART 4G LTE - Smart - Lets Talk #Smart4GLTE
Salaam.laptop yangu niliweka win 8.1 pro baadae nikaamua kubadilisha nikaaenda kwenye settings kwenye option clean everithing sasa ikawa inachukua muda na inakwenda vry slow nikaamua kuizima na...
Wataalamu wenzangu na wajasiriamali wa kiteknolojia,ambao mnajihusisha na uundaji wa mashine za kuangulia vifaranga vya ndege.
bila shaka mtakuwa mnatambua ulazima wa ufungaji kifaa kinacho...
Workshop ya electronics mwaka huu itafanyika kuanzia Tarehe 15 June 2015.
-Mafunzo yatatolewa juu ya ubunifu wa vifaa vya kielectronic vyenye mifumo ya kidigital.
-Itahusisha uundaji wa vifaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.