Heshima mbele wakuu,
Bahati mbaya sijui thread yangu inafaa kukaa forum gani.
Nina kakibanda kangu ambako ni kakubwa kiasi chake jijini Dar.
Nahitaji fundi mzuri wa Grilles ambaye yupo neat na...
Kabla ulikuwa ukitaka kutumia WhatsApp mbili au zaidi kwenye simu 1 ungeweza kufunga ama OGWhatApp, ENWhatsApp, SAWhatsApp au WhatsApp Plus, sasa hizi zingine zote (clone) hazifanyi kazi tena...
Habari za leo wana jukwaa! Naomba kujua kama inawezekana kutumia dish la dstv na kisimbuzi cha Zuku baada ya kutafuta sattelite ambayo ZUKU wanarushia channels zao.
Maoni yenu tafadhali.
Nina Toyota Harrier ambayo nimenunua mwaka 2012. Ni ya mwaka 1998. Kwa sasa kuna tatizo linajitokeza ambapo taa ya hand brek inawaka. Inafanya hivyo automatically hasa gari inapoanza safari. Ila...
Nimefanikiwa kuweka window 8.1 update 2 kwenye simu yangu.
Kuna mabadiliko kidogo kwenye settings setup na home screen. Ni hatari kufanya hivyo hasa kama simu yako iko kwenye orodha ya simu...
Nahitaji kampuni inayouza software kwa ajili ya SACCOS. Nataka yenye uwezo wa kutoa mikopo na kuonesha makato, kutunza taarifa za wanachama, kuonyesha akiba, hisa, akaunti mbalimbali(akaunti za...
Kwa wale wateja hasa wa mikoani waliokuwa wakitegemea kifurushi cha mwaka, Tigo wameshusha zaidi.
Mana walienda na series yakushusha MB kutoka 175 - 100 - 50 Mpaka sasa wanakupa MB 8 huku wakiwa...
Wasalaaam wakuu:
Anayejua anisaidie,hivi ninafanyaje ili icloud account yangu ya kwenye iPhone(simu) ndio itumike kwenye ipad!??
Na pia nifanyaje ili data zilizopo kwenye iPhone...
Hello Jf!
Ninawazo la kununua machine ya kusafishia picha za digital kubwa (5 X 7)na passport sizes ila sijui pa kuanzia maana sijui mambo yafuatayo
-aina ya hiyo machine na jina lake
-Bei ya...
specification zake ni km ifuatavyo
hd 500
ram 2gb
processor 1.40ghz
system type 32 operating system
pia ina camera
kwa wale wapenzi wa vitabu na movie zipo za kumwaga
bei yake ni 400000 pungufu...
Habar zenu wakuu...!?!
nina simu yangu moja aina ya Huawei y530 inatatizo limetokea zaid ya mara nne saasa kuna muda inagoma,ku function kwenye message...whatsapp..Gmail.na Facebook yani...
Heshima kwenu wadau!
Jamani kuna tofauti gani kwenye engine za Toyota hapo juu. Ni ipi yenye kuvumilia tabu na shida ktk rough and tuff road. Ni ipi economical kwenye fuel consumption? Ni ipi spea...
Kuna jamaa wanafanya data recovery hadi ya SIM card kurejesha SMS an namba za simu zilizofutwa.
pia wanaweza kurejesha data ktk smartphones (blackbery, Android, iPhone, Simbion, etc.). Hii ni...
Katika uchunguzi wangu, nimegundua kwamba Viber voice call 📞. Ipo vizuri sana kuliko WhatsApp Call, . Usikivu wa viber ni mzuri kuliko whasapp kwa mazingira ya internet yanayofanana. Sauti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.