Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Samahani mwenye used cartridge ya hp printer no.21 Ninahitaji. Nina hp printer moja ya enzi hizo inatumia cartridge ya wino mweusi namba tajwa. Iliyokuwepo iliisha na nimeipoteza. Ila...
0 Reactions
1 Replies
565 Views
Damn! Anybody I mean kuna mtu anajua jinsi ya Ku root Huawei Y330 anisaidie nimejaribu kila kitu jinsi ya ku root nimeshindwa??
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeona kwa watu wengi hii editing nimeipenda na nina picha zangu tatu nahitaji kusaidiwa kufanya hivi kama upo teari naomba uni PM namba ako afu naomba kuelekezwa hij editing ina fanywa vipi...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu,nina moderm yangu ya voda imenigomea mnara aupandi kabsa, tatizo linaweza likawa nin na nifanyaje?
0 Reactions
5 Replies
794 Views
Wadai nimepata mark ninayotaka kuiweka kama avator nitaiwekaje ? hebu nipeni step
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni hivi nina laki 2 natafuta simu ya smartphone nilikuwa nahoji nikanunue simu gani ila mi ni mpenzi wa tecno,htc na samsung
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wan JF naomba msaada wa namna ya kubadilisha key board ili niweze kuchapa kwa lugha ya kifaransa. pia namna ya kubadili ili ichape kama key board nyingine maana nimeambiwa kuna mtindo wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Husika na hoja hapo juu naomba kujuzwa juu ya faida na hasara za kuroot simu kabla sijachukua uamuzi wowote, natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habari zenu waungwana , jamani mimi nimekuwa nikisumbuliwa sana na tatizo la Ads kwenye browser zangu (mozilla na Chrome) , yaani inafika wakati nashindwa hata kuona screen maana inakuwa...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Niaje wana jf? Nahitaji kununua server ambayo ita allow ku upload files and download the uploded files....hv kwa kuanzia tu nitapata server ndogo labda kwenye shilingi ngapi labda....
0 Reactions
3 Replies
3K Views
habar great thinkers kama title inavojieleza msaada tafazar jinsi ya kuweka application ya kupakua video za aina zote
0 Reactions
0 Replies
4K Views
JAMANI MI NI BIGINNER KABISA KWENYE JAVA BUT KATIKA SOMA SOMA YANGU NIMEKUTANA NA TATITIZO WAKATI WA UANDISHIB WA CODE ZA LENGO LANGU NI KUANDIKA SIMPLE ATM PROGRAM INTAKAYO KUWA INA MWAMBIA USER...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna hii simu application inaitwa 'true caller'. Sijui inafanyaje kazi ila mtu akiwa nayo ukimpigia simu hata kama haja save na hana namba yako litatokea jina ambalo mtu mwingine mwenye hii app...
3 Reactions
27 Replies
6K Views
Msaada waungwana, yeyote mwenye software ya camera kwa ajili ya laptop. computer yangu ni dell inspiron 15. windows ilileta shida nimeinstall window upya naombeni software kwa ajili ya camera...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
niajer.. samahani jamani tatizo langu mimi ni instagram yangu... siwezi ku upload pboto.... naifungua insta vizuri naweka picha fresh kamakuna editing nataka kufanya nafanya fresh, sema nikiweka...
0 Reactions
1 Replies
909 Views
Habari zenu jamani Nimeroot smart phone yangu aina ya Tecno m5 kwa lengo la ku-upgrade kutoka android version 4.2.2 hadi android version 5.0.Naomba ambae anajua jinsi ya ku-upgrade anisaidie...
0 Reactions
2 Replies
692 Views
Habarini wadau Niliformat laptop yangu majuzi hapa ila CD niliyotumia kuiformat haikuwa genuine hivyo hii niliyotumia nitaweza kuitumia kwa siku 30 tu,kulingana na ujumbe unavyosomeka Kupata...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Natafta kioo cha tecno m3. Hata kama ni dsm naomba na mnitajie bei
0 Reactions
1 Replies
911 Views
Unaipenda CYANOGENMOD? Tuambie...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Natumia Nokia lumia 710 lakini tatizo nililonalo ni kuwa nikitaka kuangalia salio haionyesha inakuja neno 'system terminated'.Pia hata nikitaka kujiunga na vifurushi mfano vya airtel siwezi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom