Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wadau ninaomba kuuliza hii clean master app inasaidia nini ktk simu na je inafaa kuiweka!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna HDD ya Desktop computer imekataa kusoma a.k.a ipo kama imekufa vile hakuna signal yeyote Nimefanya troubleshooting za kawaida [badilisha cables, kuweka kwenye computer nyingine, kuweka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana JF, natafuta mtaalamu wa kutengeneza laptop yangu ya Toshiba. Awe anapatikana Arusha, mwenye utaalamu ani pm
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jamani nina sheeedah!! Nimenunua laptop, mpya haijamaliza hata mwezi. Nimeanza kuitumia baada ya kuweka program muhimu zote na antivirus Karspersky. sasa tatizo baada ya wiki tangu nianze...
0 Reactions
9 Replies
928 Views
Mambo wadau eti nilikua nauliza kama kuna uwezekano wowote wa kua verified member kwenye websites ambazo zna limitation access i mean inabidi uilipie then ndo uitumie Je kuna mwenye idea yoyote...
0 Reactions
0 Replies
665 Views
Wataalam ninaomba kuuliza jinsi ya ku update hii adobe flash player kwenye simu kuna tv channels nilizoingiza zinafunguliwa na hii flash player lakini inataka update.
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Mambo wadau eti nilikua nauliza kama kuna uwezekano wowote wa kua verified member kwenye websites ambazo zna limitation access i mean inabidi uilipie then ndo uitumie Je kuna mwenye idea yoyote...
0 Reactions
0 Replies
556 Views
Kuanzia kesho voda wataanza kutoa ofa mpya walioiiga toka tigo. Kwamba sasa utaweza kutumia bure intaneti kwa kiwango cha MB100 kuanzia saa 12 mpaka saa mbili asubuhi!
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Heshima zenu wana jf, ninayo desktop aina ya Dell inspiron 520s ilikuwa inafanya kazi vizuri tu lkn kuanzia jana baada ya watoto kuchezea games, uki boot monitor inaonyeshe Iko kwenye sleep mode...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tafadhali waungwana, naombeni msaada wa namna ya ku un lock iphone ambayo imejilock na apple id , kuna watu wengine wanasema kuwa mara haiwezekani ku unlock na wengine pia wanasema inawezekana ...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
habari za majukumu wanajamvi,nina iPod classic kila nikiingiza nyimbo zinakua hazionekani kwenye playlist ila nikikonect PC na iPod naziona,Naomba kujuzwa nawezaje kuingiza nyimbo kweye hiyo iPod?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
wataalam naombeni msaada wa apps za video zinazoweza kuonesha movie baada ya kuzi download maan ninazo baadhi lkn hazi play movie.
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Naomba msaada jinsi ya kushare pic o video iliyoko instagram kwenye Facebook plz?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cm yangu ni huawei y300 internal ambayo ni used ni mb600 free size ni mb535 ram size used ni mb383 free size size inaweza kubadilika badilika mara mb17;19;20;30 mara 45 sasa nataka angalau ifike...
0 Reactions
5 Replies
813 Views
wanajamvi mimi ni mkazi wa Kigamboni DSM. nimejaribu kutumia modem za airtel, tigo na voda kwa nyakati tofauti ila internet naipata kwa tabu sana na inakuwa too slow na nashindwa kutimiza majukum...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu, kuna application moja inaitwa PlayTV hii inakupatia channel nyingi sana za tv ambazo zinapatikana online live kabisa. Inachotakiwa ni kudownload Playtv application katika playstore...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
zifuatazo ni nchi ambazo zina teknolijia ya hali ya juu katika nyanja za kijeshi na silaha za kivita. 10.north korea 9.South Korea 8.India 7.Germany 6.Japan 5.France 4.U.K 3.Russia 2.China...
2 Reactions
111 Replies
25K Views
Habari wana jf ,nnalaptop yng ya lenovo ,mara nyingi napendelea kuilaza kwenye chaji ,toka juzi ukiiwasha inawaka ila screen haiwaki ,je inawweza kua imeungua kioo au msaada please
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hii ni app ambayo inaroot almost simu zote na ilikua ni ya kichina tu sasa hv jamaa wameileta lugha ya kingereza. Tumia kama njia nyengine zimeshindikana kuroot. Ingia link hii then nenda...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom