Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu ni kampuni gani wanadistribute Lenovo kwa hapa nchini?
0 Reactions
1 Replies
962 Views
Wadau naomba kujuzwa ni vipi naweza kurejesha sms kwenye simu yangu zimefutika bahati mbaya
0 Reactions
7 Replies
11K Views
Wanabodi kuna material nataka kupakua toka https://depfile.com/ ila nashindwa maana wananitaka niwe premium member. Kama kuna mdau anajua premium link Generator ya kuwapenya hawa jamaa naomba...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wandugu je naweza kupata dc adaptor nitumie kwenye dell yangu..?
0 Reactions
3 Replies
880 Views
ntawezaje kutumia apps zinazoitaji wifi katika 3G natumia android
0 Reactions
2 Replies
628 Views
habari wana jf mwenye ufahamu na topic tajwa hapo juu naomba anijuze please
0 Reactions
4 Replies
812 Views
Wadau habari za leo Natafuta mchoraji wa ramani za nyumba Kama wewe ni mchoraji mzuri weka namba yako hapa nikupigie
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu nataku kuroot simu yangu ya android ni samsung galaxy grand gt i9082 so kwa mtu mwenye uwezo na hii kitu anichek inbox note:nitalipa gharama ya huduma nipo mkoa ila tar 25 ntakuwa dar...
0 Reactions
2 Replies
790 Views
Naomba mwenye uelewa jinsi gani nitaunganisha TV aina ya ZEC na Receiver aina ya Sony HT-M22. Zote zinaonyesha zinatumia HDMI System, nimejaribu kila njia imegoma.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajamvi Nataka kujua kuhusu hii kitu inayoitwa IPTV. Nimepata kusikia waweza kuangalia tv online kupitia IPTV kwa kutumia simu, PC au hata smart TV. Nimejaribu kugoogle na kutaka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
goes by 280k,0799363620.pickup frm seller,no delivery.
0 Reactions
2 Replies
714 Views
Habari ndugu zangu. Hii Simu nililetewa kutoka marekani. Huko ilikuwa inatumia mtandao wa tmobile. Ilipoletwa huku haikamati network. Nimekaa nayo mwaka sasa Mafundi wengi wamejaribu...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
nilikuwa naish mwanza kwa kipindi kama miaka kadhaa, na sasa nimehamia Tabra na nmekuja na startimes yangu. Shida ambayo inakuja nikuwa nimefika huku hakionyeshi channel yoyote na nimeenda kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanabodi! Naomba kuuliza je inawezekana Kuwa na simu ya mezani lakini yenye kutumia mtandao wa Tigo? Na kama hizo simu zipo zinapatikana wapi? Zinaweza Kuwa zinauzwa kiasi gani...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
nilikuwa naish mwanza kwa kipindi kama miaka kadhaa, na sasa nimehamia Tabra na nmekuja na startimes yangu. Shida ambayo inakuja nikuwa nimefika huku hakionyeshi channel yoyote na nimeenda kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau nataka kuanzisha cable tv.Nina umeme nyumbani nina receiver mbili.je nahitaji nini kingine ili nianzishe cable tv?.Nina uhakika wa kupata wateja 50 wa kuanzia.nawasilisha.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Case Model: CPU: RAM: GPU: Motherboard Model: Case: Monitor: Pia tuambie games ambazo unatamani kuzicheza kwe higher frame rates.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hi wana jf wote!nataka niagize gari aina ya NISSAN BLUEBIRD SYLPHY kupitia autocom japan au sbt japan.Tafadhali mwenye kuijua gari hii hijalish ni ya mwaka gani yy anijuze tu.Pia mwnye kuyajua...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
wadau kwa mwenye link ambayo naweza kudownload bongo audio gospel na music ya kawaida,plz nisaidie,niko bush nataka lau niburudike
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Back
Top Bottom