Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naomba kuuliza hizi simu huawei y550 zinauzwa shilingi ngapi!
0 Reactions
3 Replies
836 Views
"Ongea Tanzania! Furahia dk 100 Vodacom-Vodacom, MB 100 na SMS1000 kutumia masaa 24 kwa Tsh1000 tu. Kujiunga piga *149*01# chagua Ongea Tanzania." Angalau kaunafuu kapo kuliko mb8 Bado cha...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa Wale Ambao Wana Interest Nahitaji Kujifunza Zaidi
0 Reactions
0 Replies
500 Views
wakuu, habari za asubuhi? well, niwieni radhi kwa nitakaowapotezea muda kwa huu uzi. Naombeni kufahamu kutoka kwenu wataalamu wa simu hizi za kisasa. Hii simu tajwa hapo juu, samsung galaxy...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
wadau mwenye software ya kuchakachua modern DC unlocker au yoyote naomba anisaidie
0 Reactions
2 Replies
956 Views
Samahan wadau nitaitambuaje cm original aina ya sony z3?
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Naomba kujuzwa step za kuweka custom ram ya Android 4.4 kitkat kwenye mtk device.Phone tayari iko rooted. NimeCheck google naona :A S-confused1:.
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Nimefanya uchunguzi kidogo kwa kuangalia uelewa na uwezo wa kufikiri wa watu wanao miliki blogsport hapa Tanzania pia (blogger) pia nikaangalia article au content za blog zao nikagundua bado wengi...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
naitaji mtaalum wa kungeneza blog nzuri iwe blog ya .com ama .blogsport.com anitajie bei na namba zake hapa
0 Reactions
4 Replies
953 Views
Nina lg g2 imepasuka kioo wapi naweza kukipata..
0 Reactions
4 Replies
665 Views
mwaka 2023. uzito wake ni 0.50kg tu
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Anaejua action movie za hollywood plz anitajie nataka kudownload natanguliza shukran
0 Reactions
24 Replies
6K Views
wataalam wa humu ndo breki. hiv sim ikijilock baada ya kukosea pattern unlock na ikakudai gmail usiyokumbuka unaifunguaje?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
wataaalam niliwahi kuona kuna mtaalam mwenzetu ameweza ku set satellite tajwa hapo juu zote katika dish la 130cm ku band,nlikuwa naomba tena aipost tena ile attachment,natanguliza shukrani
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Miaka 150 ya kuzaliwa kwa Nokia... Tuambie lolote unalojisikia kuhusu Nokia na pia tupia maneno kadhaa ya kuhamasisha kampuni hii ya kipekee..
0 Reactions
32 Replies
37K Views
Wadau computer yangu ilikuja na window 8 toka kiwandani sasa nataka kuibadilisha lakini inanisumbua haitaki kutoka, inawaka na kuonesha kwa kuna error wakati wa kuwaka na inaishia hapo haiendelei...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
wana jf heshima zenu!!!mimi niko mikoani kuna mtu kanitonya kwamba kuna kampuni fulani wanauza kingamuzi na dish dogo la ku band na ukishalipia unapata tv zote za tz, na nyingine za nje kama cnn...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
msaada plz.ni njia gani wengine humu mnatumia kuattach picha ikaonekana moja kwa moja kwa viewer.namaanisha ionekane kwenye post bila ya kureload image tena
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Heshima kwenu wanaJukwaa. Whatsapp wametoa version mpya ambayo ina option mpya kwamba unaweza ku like profile picture ya mtu. Naomba kupatiwa msaada wa Link tafadhali niweze ku...
1 Reactions
12 Replies
6K Views
Wadau anaeweza kuflash simu ya HTC ani pm kuna simu inahitaji kuflashiwa very quickly....au tuongee kupitia 0714250626/0757470207
0 Reactions
1 Replies
705 Views
Back
Top Bottom