Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Za saa hiz wakuu natumai mu wazima,naomba msaada kuhusu hii simu...natumia huawei p6 na nme weka custom rom(miui rom v6) ila tatzo linakuja baada ya kuweka hii rom kla kitu kpo sawa ila interna...
0 Reactions
4 Replies
968 Views
habarini wakuu, ninatumia printer ya hiti s420 kwa ajili ya kusafishia express pasport size, shida ni kwamba ukiprint picha inatengeneza mstari fulan ambao unaharibu muonekano wa baadhi ya picha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Simu yangu ilifutika apk hiyo ambayo ndio orijino yake sasa nashindwa kuelewa kuna umuhimu wa kudownload apps nyingine?
0 Reactions
2 Replies
908 Views
nina simu tajwa hapo ipo rooted lakini kuna wakati aioneshi storage ....pia wakati mwingine inaonesha ...naomba msaada kwa anayefahamu tatizo hili
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika pita pita yangu kwenye mitandao. Nmeona kuwa ukiwa USA water za ipata Unlocked IPhone 6 Plus kwa $550. Cha kushangaza, nlipopita baadhi ya Maeneo hapa Bongo nmezikuta zikiuzwa kwa Bei ya...
1 Reactions
14 Replies
20K Views
Wadau, Samsung s3 haiwaki. Battery ina charge, nikiweka kwenye simu nyingine inawasha vizuri. Lakini nikiirudisha kwangu haiwashi. Nimempa fundi anasema niipeleke Samsung wakanisaidie ku-boot...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wote hapa. Natafuta dreamweaver cs6 activation key, kwa hiyo naomba kama kuna yeyote yule ANAEWEZA kunipatia anisaidie. asante sana
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Habari wakubwa... sasa ni hivi, kwa muda nimesoma na kuona watu wakiongelea na kulifanya jambo hili (rooting).. sasa na mimi nimetamani nataka kuroot ya kwangu ambayo ni HTC incredible s710e..ili...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nilipenda ku test window 10 inafanyaje kazi. Siwezi kufanya fresh installation so nikaamua kutumia Oracle VM VirtualBox kama virtual machine. But sasa Siwezi kutumia host computer programs...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Toka snowden atoe siri za nsa marekani nchi nyingi zinafanya majaribio ya kujitegemea zenyewe kiteknolojia na kupunguza utegemezi wa kampuni za magharibi. Urusi baada ya kumwaga mabilioni ya...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Hello, I am looking for a chat application to implement it to my website. I don't have idea which to use or which is best. I came across RumbleTalk and Cbox but still looking for more options...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hivi ni kwanini wakati mwingine unapokua unatumia simu hizi smartphone unakuta mtandao haupatikani na mwenye simu ya kawaida unakuta unapatikana na mko sehemu moja nikwanini!
0 Reactions
2 Replies
944 Views
Habari zenu wanajamvi, Natumia simu aina tajwa hapo juu lakini tatizo lake ni kupata joto wakati inatumika kuongea na mtu kwa simu mda mrefu, kuchat message au kama kutumia internet au hata...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Window7 is not guinuine,nahitaj msaada wakuu ni jinsi gan naweza kuifanya ikawa guinuine.
0 Reactions
6 Replies
5K Views
.
0 Reactions
0 Replies
602 Views
habari wadau napenda kujuzwa bei ya power benki tajwa hapo juu yenye mAh 9000 , pia uborawake kiutendaji
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Salam kwenu mandugu,nina laptop yangu huwa nikidownload document inakubali,lakini nikidownload video huwa hainiletei window ya kusave au kuwatch later..nilimtafuta it flani akaniwekea IBM lakini...
0 Reactions
1 Replies
727 Views
Habar zenu naomben kuuliza APC / UPS inafaa kusave umeme wa T.V na decoder. Ahsante
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba mwenye ufahamu wa kuiboot /hard reset tablet yenye mfumo wa kichina anipe msaada Simu ni intex ibuddy connect Model iT-ICONNECT S/W:I buddy-connect-v1.2 H/W A760G-MAINBODY-V2 2.0 SAR...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom