Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
habari wana jukwaa? screen yangu SANSAN inawaka vizuri lakin haioneshi picha,inatoa audio tu nikiunganisha na king'amuzi.inaonesha si kitu kikubwa kimepata hitilafu,naomba mwenye ujuzi na tatizo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimepata PS 4 hivi karibuni. Napata shida kucheza kila kitu kinahitaj ni connect online nina CD mbili lakin nashindwa kuzicheza zote zinasema Connect to internet/log in to PSN. Msaada wenu hapo...
0 Reactions
2 Replies
781 Views
Habari wakuu, nimeanza kutumia whatsfapp siku mbili au tatu hivi zimepita, jana nilishangaa bundle langu la wiki ilimekata ghafla nikahisi labda nilizisha matumizi. Jana usiku nikaunga tena...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari zenu wana JF naomba kwa anayejua tofauti ya hizi simu mbali na matumizi ya SIM card anisaidie kwani mm naona zipo sawa kila kitu
1 Reactions
35 Replies
6K Views
Naomba mwenye kujua frequecy mpya za channel ten anisaidie. Haipatikani, nasikia wamebadilisha frequency!
0 Reactions
0 Replies
3K Views
microsoft leo wamezindua surface 3 ambayo itakuwa ni tablet dada wa surface pro 3, tablet hii inayorun full windows itakua na bei afadhali kidogo kulinganisha na dada yake surface pro 3...
1 Reactions
45 Replies
8K Views
OGwhatsapp n nin jaman nitoen ushamba
0 Reactions
2 Replies
671 Views
Ninahitaji Toshiba Satellite U505, Duo Core Intel processor, 4GB RAM, 500GB HDD, WIFI, etc ,mpya, iliyotumika au mbovu. Mwenye nayo anijuze. Bei itategemea na hali yake.
0 Reactions
0 Replies
481 Views
Baada ya pita pita zangu katika forum yetu ya Tech, Gadgets & Science nimeona kuna jamaa yangu kajaribu kuelezea faida na hasara za Windows phone. Nami naomba nielezee faida nilizoziona kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Software ya OGwhatsApp naona wadau imebuma tena. Sasa sijajua ni kwangu au ni kwa wenzangu. Iliwahi kuwekwa hapa jukwaani Utatuzi wa ya mwanzo ilipokuwa inahitaji update, na kuna mdau mmoja...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Heshima kwenu wanajamii wenzangu.... Nina Samsung galaxy S4...tatizo la hii simu ni kwamba kila nikiingia youtube kutazama videos.....nakutana na video zikiwa hazina ubora kabisa na vivuli karibia...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
jamani naombeni kujuzwa bei ya Nokia lumia 435 na je zimefika bongo
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Laptop yangu imepata matatizo huwa inagoma kurespond nikiwa naitumia na kuna message zinatokea then inajizima.... Na kujiwasha tena kama kuna mtu anajua namna ya kutatua swala hili naomba anisaidie
0 Reactions
2 Replies
995 Views
Habar wanaJF naombeni kuuliza mtu anayejua kutumia 3d screen ya laptop na je inapatikana wapi??? Ahsanten.
0 Reactions
0 Replies
472 Views
salaam zenu,et naweza pata smart phone gan mpya kwa 120,000
0 Reactions
5 Replies
921 Views
Ndugu zanguni, nina iphone ilikuwa inatumika uingereza kwa contract katika mtandao wa orange.. Bahati mbaya imekuwa disabled.. Ukiwasha inakwambia iphn is disabled connect to itunes.. Nisaidien...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Baada ya kupata somo la kutengeneza website hapa jamii forum, nilijaribu kutengeneza website rahisi na kui host. Jamani wadau naombeni mtembelee hiyo site halafu mjaribishe muone jinsi inavyofanya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
husika na kichwa cha habari hapo juu.v
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wataalam, me nna HTC DROID DNA mpya, lakini kuna kitu sikielewi katika Simu hii, kila nnapoangalia Salio napata jibu lililoandikwa kwa kichina mpaka nachanganyikiwa na Salio lenyewe...
0 Reactions
4 Replies
880 Views
Wana jamvi naomba mnisaidie hili, nina simu yangu lg flex ni mpya sijaitumia, jana kuna option niliichagua ya ku update android ambayo ni os ya hii simu. Ghafla simu ikazima na kila nilipojaribu...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Back
Top Bottom