Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Halloo JF. Naulizia kwa mwenye ufahamu kusuhu suala la polishing/waxing rangi ya gari. How long does it last? Does it affect the car paint? Nimepata scratches kwenye some parts of the bonnet...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari ndugu wana jf naomba kujua bei za portable laptops za kampuni ya acer,hp na samsung THANKS IN ADVANCE
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Mimi naona sipati Google search, Youtube wala playstore leo. Site zengine zote hazina tatizo.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wa wkuu! Nna Huawei mobile wifi lakini inaoparate line ya voda pekee, msaada tafadhali ni jinsi gani naweza ku_unlock ili niweze kutumia na mitandao mingine. Thankyu!
0 Reactions
0 Replies
757 Views
Hi guys, Naomba msaada, juz nikiwa natembea kwa miguu maeneo ya Mwenge Sokoni nimedonndosha funguo ya Gari pamoja na ya ofisi. Mvua ilikuwa inanyesha sana. Je, kuna mtu anayeweza nisaidia namna...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Airtel ni mwisho wa matatizo hii ni speed nayopata karibia kila siku.
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Habari za J2 wakuu. Kuna mtu mwenye laini ya voda nampigia simu tangia wiki imeanza naambiwa mtumiaji wa simu unayempigia anaongea na simu nyingine au simu iko bussy. Je ni kweli simu ikawa bussy...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Wataalam wa jukwaa hili naomba kuelekezwa online tv ikoje ikoje? halafu kama nina apps nataka watanzania waitumie ikiwezekana wailipie nafanyaje fanyaje......ningependa kuelekezwa kwa kutumia...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
wakuu heading inajieleza kama kuna fundi mwenye spare za hii mashine aina ya PRINTER CANON MF 4400 tafadhali tuwasiliane 0765 099627
1 Reactions
4 Replies
946 Views
Wadau naanzisha Uzi huu kwa madhumuni ya kupata msaada. Mini Huawei Y530....nilifanikiwa kui-root... Nikafanikiwa bila wasiwasi..na nikafanikiwa kutumia faida ya Ku root kwa kung'oa bloatware...
0 Reactions
8 Replies
984 Views
Wadau amani iwe kwenu. Naomba mwenye utaalamu wa channels settings anipe frequencies za local Tanzania TV channels zinazopatikana kwenye satelite dish. Ahsanteni
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF,naoomba mnifahamishe na ikiwezekana mnitajie blogs au sites ambazo zinaongoza kwa watumiaji wengi apa bongo,natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
904 Views
Kwa wataalam wa Excel naomba mnisaidie formula ya kutafuta GPA kwenye Excel kwa masomo 7
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Habari za mchana huu wWanajamvi. Nakuja kwenu kuomba msaada wa kujua namna na software(nzuri) ya kurecover data endapo HDD imefutwa partitions wakati wa kuweka OS mpya. Nitashukuru kwa msaada wenu.
0 Reactions
3 Replies
707 Views
COMPUTER REPAIR AND MAINTENANCE-MOSHI, ARUSHA. SERVICES PROVIDED - LAPTOP REPAIR- TUNA REPAIR LAPTOPS ZENYE HARDWARE PROBLEMS ie power, display problems etc. -MOTHERBOARD REPAIR-Tunafanya...
0 Reactions
0 Replies
553 Views
hiv ni camera gan ya ku download ambayo iko vizur zaid kwenye picha?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Somo tajwa hapo juu lahusika...plz
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wadau naomba msaada kwa wenye ufahamu mimi natumia window 8 + samsung note 3 lakini na shida moja kila napo chagua file 10 kutuma kwenye computer inanitaka ni click kila file linapokuwa limeenda...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu,nahitaji simu ya lenovo P780 so ningeomba nijulishwe duka linalouza pamoja na bei yake. Nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
783 Views
wakuu nauliza kwa mwenye ufaham kuhusu hizi patch zinazotolewa kwa ajili ya ku-edit pes 13, pes 14, pes 15 je hutengenezwa na watengenezaji wa game husika au na wadau tu?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom