Habarini ndugu zangu...Ninatumia laptop aina ya TOSHIBA SATELLITE C850..ilikuwa ipo perfect hadi siku moja nilipoamua kubalisha windows(Niliweka 7 Ultimate kureplace Win 7 Prof)..tatizo...
Habar wadau!!
Hivi haya magazeti yanayotoka daily km MAJIRA wanatumia technology gan kuandika zle habar?? Coz unakuta tukio limetokea saa 3 ucku but asubuh unakuta habar ipo gazetn,, hv...
Nikipiga simu kupitia line ya voda inaniandikia ussd code running...huku ikiita,hapo siwezi kukata kama nabeep...nini tatizo ,natumia huawei nimeangalia kwenye setting kila kitu kipo...
479
mordem yangu ya huawei e 303 sio (hilink) inaniletea hii error Wrong codes entered : 10 (unlock attempts left : 0) kila ninapotaka kui unlock itumie mitandao yote..hii ni TIGO kwa sasa ila...
Wakuu nilinunua simu kupitia amazon mwezi march 2015. Bahati mbaya haikufika. Alituma kama kama priority mail letter. Ameomba nichague mambo mawili: Refund au anitumie simu nyingine. Mimi nataka...
Nina modem ya alcatel X230E ya airtel ambayo ipo locked. Nilikuwa nahitaji ku-unlock. IMEI ni 867612003915398 Mwenye Idea anakaribishwa."Thanks In Advance"
Katika kufanya tathmini ni king'amzi gani ambacho naweza kutazama bure televisheni za ndani (Local Channels) nimegundua kuwa ni StarTimes. Baadhi ya wadau wanadai ndo king'amuzi pekee ambacho...
New research published by the African Governance and Development Institute shows that piracy increases literacy and the spread of knowledge. The researchers warn against the adoption of strict...
Habari wadau..
Nahitaji power bank kwa ajili ya simu ..naomba mwenye info type ipi nzuri..price tag...specifications na wapi naweza ipata dar (duka)..anisaidie.
Many thanks.
Nina huawei y300 kila nkitaka ku-install Apps kutoa play store inaniambia space ndogo wakat kuna zaid ya mb 140 internal na zaid ya 180 kweny sd sasa cjui tatzo!
Wakuu habar! Nahitaji kufaham kama hii vodafone vf685 naweza kui root! Maanake nimejaribu one click, framaroot na towelroot bila mafanikio..nawasilisha
Kama ulipata msongo wa mawazo baada ya ogwhatsapp kuwa ya developer kushindwa kuendelea kufanya mautundu yao, kaja tena huyu app anaitwa whatsFapp anakuwezesha kutumia namba tatu za whatsapp...
Nataka tu kufahamu kama mtu akibadili laini, je TCRA au mtandao wa simu kama Vodacom, Tigo, Airtel wanaweza kujua location yako...I mean umenunua laini mpya na ukasajili jina tofauti lakini simu...
Nina simu yangu aina ya brackberry q 10 imeziba ghafla ikiwa kwenye charge fundi wa hapa mtaani kaingalia tu kasema hii haiwezekani, msaada anaejua fundi wa simu hizi anijulishe nipo dar es salaam
Habari wakuu nadhani baadhi yetu tunaijua ogwhatsapp kam mbadala wa kutuwezesha kutumia namba mbili kwenye simu moja...
Naona toka majuzi imekua ikitoa notifications za ita expire baada ya siku...
Je Unamfahamu huyo Jamaa?
Yeye anajiita ChuraJasusi.
Wacha nielezee tabia za Huyu Jamaa.
TABIA
1.ChuraJasusi anapenda sana Microsoft os kama windows xp, windows 7 na 8...
Ivi hii habari ni kweli jamani?
Did you hear about new Apple Store? They have a promotion where you could win an iPhone6! Visit their award centre website -->>...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.