zali all white party sasa imekuwa ni talk of the the town,kila kijana anaongelea zali all white party ambayo inafanyika leo pale mlimani city.nimeona isiwe tabu,nimeamua kuwaalika wale vijana...
Habari wandugu,
Natafuta fundi anayeweza kubadilisha wheelchair iwe na motor. If Possible kuifanyia marekebisho mengine madogo madogo.
Please kama unamjua mtu anayeweza kuifanya hiyo kazi ni PM...
Naomba wataalam mlio humu jf mnipe utaalamu. Kumtrack Bila kuwa na simu ya muhusika karibu. Nahitaji kufahamu anaowasiliana nao katika whatsapp na fb, maana nnaetaka kumtrack ni mpenzi wangu na...
Nina Top Dell Inspiron, ilikuja na Window Ubuntu, Nilivoitoa kuweka Wndw 7, nikiActivate tu inazima, hata ukuweka window iliyoActivatiwa kabisa inazima jumla, Ila bila Activation inakaa siku 30...
Jamani Kuna Bwana Mkubwa Ameniomba Ushauri Anataka Akanunue Usafiri Ila Amekataa Verossa,Mark X Kabisa Sasa Anataka Kati Ya Brevis Au Premio Nimshauri Ipi
N:B Swala La Mafuta Huyu Bwana Ni...
Wakuu hembu mnisaidie,sijui nini kimetokea kwenye Computer yangu.
Nikifungua google inafunguka kama kawaida,lakini kuna muda nimefungua hotmail imekuja erro hapo chini.
Nipeni njia,maana siwezi...
Wakuu hembu mnisaidie,sijui nini kimetokea kwenye Computer yangu.
Nikifungua google inafunguka kama kawaida,lakini kuna muda nimefungua hotmail imekuja erro hapo chini.
Nipeni njia,maana siwezi...
Habari wakuu.Yani hawa jamaa sijui wataamka lini kwenye kitengo chao cha internet.Nimenunua bando la mwezi juzi, ile kuanza ku surf JF nkakutana na spidi ya kobe balaa,nika jipa moyo labda...
Habari zenu wakuu, naombeni msaada kwa yeyote mwenye uelewa anipe muongozo, nna huawei p6 updated to kit kat, nlii root kupitia twrp so mpaka sasa simu ina twrp recovery, sasa nataka niweke miui...
Heshima kwenu wakuu,
Ulizo langu kwenu kuna uwezekano wa kuweka android inayosuport google services maana hii hakuna kitu...
aliejaribu atumwagie ushuhuda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.