binafsi nmekuwa ni mtumiaji mzuri sana wa internet ya AIRTEL. katika mitandano ya simu hawa wamekuwa na internet yenye speed ukilinganisha na nyingine nying. lakini kwa masikitiko makubwa VIRUSHI...
Hello,
Photocopier machine yangu RICCO AFICIO MP 3045 inaniletea error message "the cover is open as shown. Close it".
Inaonesha kuwa cover ya upande wa kulia pembeni juu iko wazi lakini...
Habari wakuu,
Nimenunua simu mpya Nokia lumia 532, internet nimeset vizuri na ina operate kama kawaida, nimeshindwa kuweka whatsapp na software zingine kama vile youtube, twitter, instagram na...
Hii laptop tatizo lake ni kwamba ikisha waka baada ya sekunde chache ina badilika nakudisplay mwanga tofautitofauti kama slide halafu inajigawa Mara mbili kwahiyo siwezi kufanya chochote some time...
moniter yangu ya lcd imekutana na tatizo.in tabia ya kuwaka na kujizima mara kwa mara ndani ya dakika 5 inafanya hivo hata mara 5 au 7,kwa mujibu wa fundi niliyempa aicheki tatizo kaniambia kuwa...
Wakuu nimeiona hii habari kwenye tweet ya mtu huko tweeter. Nimejaribu ku google sijapata ufafanuzi mzuri. Kwa mtazamo wangu kama wamefanya hivi itakuwa hatua nyingine kabisa ya utandawazi, uki m...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.