Wakuu kama ilivyo kuwa mtandao ambao ulikuwa na gharama nafuu za vifurushi vya mitandao ni Airtel pekee na kwa sababu hiyo walipata wateja wengi sana hadi hivi karibuni kasi yao ya internet kuwa...
Desktop ..
Unachoitaji ni Simu yako ya android na App inayoitwa C4droid..
kwa kutumia app hii unaweza kuprogramme GUI apps kwa kutumia libs za Qt na SDL.
pia unaweza kuprogramme CLI app...
Wajambo wakuu?
Natafuta Tecno P5 mpya kabisa yenye quality nzuri. Naogopa kutapeliwa au kupata feki.
1. Je, kwa Dar es salaam nani ma ajenti wa simu za Tecno ?
2. Tecno P5 inauzwa TSh. ngapi...
HUAWEI ASCEND Y300 zinazotangazwa sana kua zina promo ya muda wa maongezi wa miezi sita nitaipata wapi kwa hapa dar? Nimeenda tigo shop ya hapa buguruni naambiwa haziko sokoni kwa miezi mitatu...
Angalia Tutorial yangu kuhusu jinsi ya kupata Product yoyote ya Autodesk including : 3ds Max, Maya, AutoCAD, Revit na nyenginezo!
Kama hauzifahamu au huna kazi nazo please pita tu kistaarabu...
habari za mda huu wakuu
Nina rafiki yang ana Tecno m3 imestuck on logo....akiwasha inaishia kwenye logo ya tecno tuu na haitaki kuendelea yan kuwaka na kuwa tayari kwa ajili ya matumizi na...
Habari wakuu,
Kumekuwepo na lundo la powerbanks madukani,za aina tofauti tofauti.Hii inachanganya sana,hasahasa kwa wengine ambao sio wazoefu katika kutumia powerbanks.
Natumai katika jukwaa hili...
Habari zenu wana jamvi!
Naomba msaada kwa anaejuwa setting the TOSHIBA CAMILEO SX500, nikipiga picha kawaida zinapotea au hazikai kwenye memory. Lakini ninapotumia auomatic timer picha...
Ndugu wanaJF, naamini wengi wetu hapa ni wapenzi wakubwa sana wa Photoshop na wangependa kujifunza. Sasa nikaona si vibaya tukichangia mawazo na uzoefu wetu na kweza kubadilishana ujuzi wetu...
Kuna picha nilizi hifadhi kwenye email yangu kupitia application moja hivi inaitwa photos ipo kwenye huawei y330 sasa zile picha nataka nizirudishe nafanyaje coz nikifungua hio app naziona chache
Habar wana jukwaa la technolojia naomba mnisaidie simu yangu aina ya tecno m3 haitaki kuoperate auto rotation kwani nikiigeuza image inabaki vilevile upright so nifanyaje wakuu kwani kuna video...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.