Wana jf heshima zanu, leo katika pita pita yangu kwenye net nimesoma uzinduzi wa 4g tigo hapo bongo katika maeneo ya mlimani na masaki, walio katika maeneo hayo na wameshatumia hiyo service...
Kuna software yoyote play store inayoweza saidia kufuta picha au video zinazojirudia ktk gallery ya simu, unakuta folder la whatsup ktk gallery lina picha au video kutoka watu mbalimbali au ma...
Enthusiast just watch mr Ýmir Vigfússon "Ph.D" explaining why he teach people how to hack, honestly it's very impressive and funny because the points he used to say are seem to be valid...
Habari gani wadau wa Jukwaa hili!
Naomba msaada wenu wa hali na mali niweze kupata nyimbo hizi za WASANII wa zamani zenye radha tofauti ili nami niweze kukumbusha enzi kidogo;
A. PEPE KALLE
1...
WADAU CAMERA YA MBELE YA SIMU YANGU YA huawei y300 imestop kufanaya kazi. nikifungua app ya camera sioni option ya front camera.
na pia sioni sehemu ya kuondoa sauti ya camera,
nifanyeje?
wakuu nilikua nimejikusanya kusanya nikapata km lakin nne hivi,sasa nataka ninunue fridge ya mtumba kubwa,lakini bahati mbaya sina utaalam sana na mambo ya electronics,sijui fridge zipi ni nzuri...
Wataalamu kuna rafiki yangu anasimu tajwa hapo juu sasa kila akijaribu kufungua gmail unakuja ujumbe searching for wifi networks wakati huo wifi iko on kwahiyo anashindwa jinsi ya kufungua account...
Habarini wandugu nina techno m3 nime iroot sasa nataka kung'oa playstore kuna madhara gan kwa cmu? Na application zilizopo? Niki reset itafaa? Naombeni msaada
waungwana channel o dstv mwezi huu mwanzoni ilibuma na baadae ikapotea kabisa kwenye list ya channels, hv imekuwaje tena maana hata mziki mzuri siupati tena, wadau majibu please...
sina uhakika kama hapa ndiyo nilitakiwa nipost. mtanisamehe mi mgeni humu.
nitaweza vipi kumfahamu mtu anayetumia jina langu na details zangu nyingine katika account ya facebook? naomba mnisaidie.
Nina private emails kadhaa, ambazo zinatumia majina yangu binafsi ambazo haziko katika mfumo wa yahoo.com au gmail.com (katika mfumo wa Ozzie.com). Kwa muda mrefu nimekuwa nikipata emails zenye...
Ten years is nothing, at least in the history of journalism. But a decade of YouTube has arguably changed our concept of news as much as the inventions of the printing press, television or radio...
Jamani naomba msaada kwa mtu anayeweza ku unlock Huawei y300 inayotumia mtandao wa tigo itumie line zote hapa Tanzania. Au kama kuna mtu unamfahamu sikupenda ku Flash natamani kuifungua bila ku flash.
computer yangu inatatizo nikitumia modem inafanya kazi vizuri kwenye internate lakini nikitaka kuconnect kwenye wireless inakataa na sehemu ya connection inaonesha ki alama cha x nyekundu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.