Jamani kwenye laptop (DELL D620) yangu sehemu ya betri kuna sehemu kama ya kuweka line, ila nikiweka line haionyeshi kitu chochote, naomba msaada kwa mwenye ufahamu. Hii sehemu ni kwa matumizi gani?
Habarini za Kazi wakuu. Nina Simu aina Ya Samsung Galaxy Grand 2 ambayo Kila nikijaribu kui'root inashindikana. Naomba Yeyote mwenye uelewa anisaidie japo maelekezo Ya jinsi Ya kufanikisha hili...
disa unaipata hapa : https://play.google.com/store/apps/details?id=com.disa hii program badili ya OGWhatsap na inafanya kazi vizuri sana just ukisha maliza kuinstall ingia add service then...
Wakuu habari zenu.
Nina king'amuzi cha technosat na fta dish la ft 6 , ni muda nimekuwa nikizipata hizo channel hata zikipotea ni muda mfupi signals zinarudi.
Ila kwa sasa nina wiki 3 sizipati...
Nahitaji nikiwa JF naperuzi nione members wengine walio online, sio kibubu bubu tu. Kote nimeona hii feature kasoro JF, je ni kwamba bado JF haijafikia hiyo technology?
Nahitaji kuelekezwa namna ya kuistall costom rom ya kitkat kama haitakuwa ya lollipop,
kama nilivyosema hapo katika kichwa cha habari katika hatua ya kwanza ya kuroot nimefanikiwa nimetumia...
Habari wanajf, nauliza kama kuna computer programmer yoyote humu, ili tuweze kuzungumza mawili matatu? mimi sio computer programmer bali bado nipo katika hatua za awali kabisa kufikia hilo, kwa...
Habari gani wana JF...
Nina tatizo katika simu yangu,ni hivi hii simu imetoka singapole sizani kama bongo zipo inaitwa phicomm i813.
Napokua naitumia kwa muda mrefu inakua yamoto sana then...
Tigo kuna mambo wananikera lakini kwa hili tangu nilijue wamenikuna kwa kweli ngoja niwapeni
Mimi nimeweka sh.1000/= na nikajiunga kile kifurushi cha GB 30 naanza kuzitumia sa tano usiku hadi...
Jamani naomba kama kuna mtu yeyote ambae ana zijua BISS key za feeds(Hustler HD, Bein sport1, Bein sport2, equidia live TV, M6HD) kwenye Eutelsat@7e. naomba saada tafadhali.
Wadau, kuna izi game za android za glu, binafsi nacheza deer hunter na frontline commando d day, nilichek kwa net kupata unlimited money unadownload tu izi game kwa format ya apk, nimefanya ivo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.