WanaJF,
Mimi nimeolewa naishi na mme wangu. Sasa kuna kaka ambae alikua rafki yangu kabla sijaolewa, sasa uyo kaka alini add kwenye google+ yake, kama mnavojua nikiwa naangalia google image...
Samahanini je naweza kujiunga whatsap namba kwenye simu mbili tofauti....mfano nina number 0000012334 nataka itumike hiyo hiyo kwenye huawei na hiyo hiyo kwenye samsung....je itawezekana....
Do You Use Digital Technology Wisely?
Jenni is hooked on a video game. Im playing it for eight hours a day now, she says, and its become a real problem.
Dennis tried to go seven days...
Wakuu,
Tafadhalini sana, naomba kwa yeyote ambaye ana software ya Ms Word 2010, au 2013 ambayo iko full ili niweze kuinstall kwenye computer yangu.
Natanguliza shukrani.
Naombeni msaada nina simu yangu huawei y530 kuanzia leo imeanza kunisumbua mara inajiwasha na kuzima yenye mara inabadili rangi ya display na kuwa nyeusi na kuna ujumbe unasomeka...
Wadau naomba kuelimishwa bomu linapolipuka nini haswa kinachoua watu je ni moto ni moshi ni mstuko ni mrusho au ni nini maana sielewi. Nipeni elimu ili nijue na ikitokea nijue najikinga vp
Poleni wanajamvi, msaada kidogo kuna simu inaitwa maxon it is something new in the market, zipo models kama mbili hivi, ya kwanza ina RAM 2GB 32GB HDD na ya pili ina 1GB RAM 16GB HDD,plz kwa...
Dear..Great thinker wa jukwaa hili heshima,kwenu..Naomba msaada wa ni software gani nina weza kutumia kwenye computer, nikaweza kusearch tatizo lilipo kwenye electronic circuit bila kutumia...
Habari wadau, nimenunua lumia 532 made in vietnam, lakini inanizingua kuunganisha internet, naomba msaada kwa anayejua setting za kuunganisha internet. Nawasilisha.
Habari wakuu
Naomba msaada wa gama ya dream league nilidownload kama apk but kuna additional zinaitajika... na mimi play store yangu inagoma kufunguka wala kuweka Gmail inakataa
Hvyo...
Natumia SAMSUNG either kwa kutumia laptop email kwenda whatsapp au kutumia simu kucukua pics toka email na ku paste kwenye Whatsapp Tafadhali
Kwa ufupi namna ya ku -...
habari wana JF najua wazima...
naomba msaada laptop yangu inaonyesha "bootmng is missing" na nikijaribu kushusha windows CD inazunguka tu ila haiinyeshi setting za boot menu zaidi ya kurudisha...
Habari za wk end wadau,
Kwa wale wapenzi wa music,kama kuna member yoyote humu mwenye dj mixing music compilation,anaweza akai appload hapa na ku share na members wengine.
Unaweza ku appload...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.